Vitu vya uongo tunavyoonyeshwa kwenye muvi za kizungu

Vitu vya uongo tunavyoonyeshwa kwenye muvi za kizungu

Mkuu ukibahatika tazama movie inaitwa shut em up. Hii jamaa alimzalisha mwanamke wakati mwanamke huyo ana windwa kuuliwa majambazi wamezunguka wakati mapambano yakiendelea jamaa akakosa wembe akaamua kitovu cha mtoto kukikata kwa risasi,

Nyingine alikuwa anakula papuchi majambazi wakavamia alipambana nao huku dushe lipo ndani na mwanamke anaguna tu ana mbadili mitindo mbalimbali hadi maadui wakaisha na yeye akamwaga wachina..

Kuna uongo humo japo inafurahisha
Duuuh hii muvi sio ya kuangalia kama mambo yenyewe ndio hayo 😁
 
Namba 3 naona kama sijaelewa

Hapo kwenye jet li kupigana na majambazi 6 huku wakija kwa zamuzamu kidogo naweza kutetea... wajuzi wa ngumi nadhani watanisahihisha kama nakosea

Ni kwamba mkiwa wengi mkashambulia kwa pamoja kuna hatari ya kuzidiwa kiwango na wote mkawa defeated kwa pamoja kuliko akienda mmoja mmoja ambapo atapambana kwa weledi na kumchosha adui ili anapokuja mwingine akute jamaa kadebweda. Hatahivyo uongo wao unabaki palepale kwakuwa pamoja na kuja mmoja mmoja bado jamaa ndo kwanza nguvu inaongezeka maradufu na anawamaliza wote

Namba 2 hata me mwenyewe huwa nashangaa sana maana karibia muvi zote utakuta pambano la ngumi huku chombo kiko na mwendo hasa za kihindi. Unakuta eti pambano kali kabisa huku wako kwenye mwendo mkali katika sehemu ya nje ya chombo kama boti jet pikipiki gari au treni tena kwenye msongamano kabisa eti. Jambo hili ukitaka kujua haliwezekani fanya tu majaribio hata wewe mwenyewe

Hiyo ya mtu muovu lazima afe bwana imezoeleka sana kwamba "Stelingi hauawi" ila kinachoniacha hoi stelingi wa picha za zamani lazima aanze kuchezea kichapo cha maana yeye kwanza. Picha za kisasa nazo stelingi yeye anaadhibu wenzake tangu picha inaanza mpaka kuisha hutaona akidondoshwa chini wala kujeruhiwa kidole wala kupigwa hata kibao

Pia hapo kwenye stelingi hauawi huwa nacheka eti anagongwa risasi 16 anapona wakati yeye akiwashoot majambazi hata risasi moja ya mguu tu jambazi chali anakufa

Uongo mwingine kupita yote ni kupambana na polisi waliojihami na silaha na kuwashinda wote

Pia kuna ile ya kushtukia bomu pahala likiwa limebakiza sekunde chache sana kulipuka na kufanikiwa kukwepa madhara ya bomu hilo ndani ya sekunde hizohizo chache. Maranyingi unakuta eti staa mpaka anafanikiwa kuzuia/kukata waya/kutegua basi ilikuwa imebaki sekunde 1 tu kama angechelewa bomu lingelipuka

Ile ya wananchi hawawezi kujitetea mbele ya wahalifu hata kwa wingi wao mpaka aje mtu/watu fulani ambao ndio tegemeo lao aje awakomboe

Kuna vile unamkimbia adui yako mara unakutana nae mbele halafu yeye hakimbii wala nini

Pia mtu anapigwa teke/ngumi hadi mguu/mkono unavunjika. Haiishii hapo bado huyo mtu anafunga sehemu hiyo kwa shati yake na anaendelea kupambana na (huenda) akashinda

Kwenye muvi jambazi akishampiga star kabla hajammalizia, anaanza kumsimulia mpango wote ambao majambazi wamepanga na jinsi watakavyoutekeleza. Baada ya hapo star anapata nguvu na kumzidi jambazi kisha anamuua na anakua ameshajua kila kitu. Hapo unakuta eti huyo jambazi ni mafia na ameshawasumbua polisi miaka mingi 🤣🤣🤣🤣
 
Hizi nazo ni wale wale tu mtu anaruka kutoka chini hadi ghorofa ya pili au anatembea kwenye ukuta kama mjusi hapo kuna ukweli gani? Ila bora hizi kuliko za wahindi [emoji23][emoji23]
Hahahahaaa... Mkuu wahindi ndo waongo kinoma...yelewiii...
 
5.kuwasha gari hata baba yangu anaweza.anaunga moto halafu ana uunga ule wa starter.
 
Hii pia nimeiona sana. Yaani imefika mahali nikiona mwafrika kwenye muvi najua tu huyu atakufa mda si mrefu [emoji3]
Mkuu hii sio kweli mbona movie ya will smith nilimuona mpaka mwisho wala hakufa mniga yule
 
Eti adui kashafanikisha vizuri kumnyooshea bastola sterling lakini badala ya kumaliza mchezo ataanza maongezi hapo na tambo mpaka sterling akibetue kibastola chake na amuue halafu unakuta ni jambazi katili lenye matukio ya kutisha
 
Mkuu ukibahatika tazama movie inaitwa shut em up. Hii jamaa alimzalisha mwanamke wakati mwanamke huyo ana windwa kuuliwa majambazi wamezunguka wakati mapambano yakiendelea jamaa akakosa wembe akaamua kitovu cha mtoto kukikata kwa risasi,

Nyingine alikuwa anakula papuchi majambazi wakavamia alipambana nao huku dushe lipo ndani na mwanamke anaguna tu ana mbadili mitindo mbalimbali hadi maadui wakaisha na yeye akamwaga wachina..

Kuna uongo humo japo inafurahisha
Nishaiona ule jamaa anamwaga shaba anapiga mkono risas na mkono nao unafyatua risas
 
Wengi hua tunadhani muvi za bongo tu ndio zina vitu vya hovyo. Kiukweli muvi za kizungu pia zina maujinga mengi yasiyo na uhalisia. Hivi ni kati ya vitu vya uongo na vinavyokera hasa kwenye muvi za kizugu.

1. Bunduki kutokuisha risasi. Ushawahi ona kwenye muvi mtu ana ki bastola au SMG anamwaga risasi lisaa lizima na haziishi? Uongo mtupu.

2. Watu kupigana juu ya treni huku inatembea! Hiki ni kitu cha hovyo kabisa hata kukiwaza tu. Hata kupigana juu ya treni iliyosimama ni shughuli pevu achilia mbali inayotembea.

3. Bomu la kutegwa kupiga alarm kabla ya kulipuka. Wanajeshi wanaingia kwenye nyumba, hawajui kama kuna bomu. Mara wanasikia mlio pi pi pi pi pipipipipipi...Booom! 😆 saa hiyo wanakua wameshatoka nje.

4. Watu wema kushinda. Katika muvi karibu nyingi, wale watu wema hua wanashinda na watu wabaya wanauawa. Hii haina uhalisia wowote kwenye maisha ya kawaida.

5. Kuwasha gari kwa kuchomoa nyaya chini ya usukani na kuzigusanisha. Japo hii inawezekana, lakini ni ngumu mno kutekelezeka kiuhalisia. Hata fundi mwenye vifaa, inakuchukua muda mrefu sana kufanikisha hili.

6. Maadui kuweka bunduki chini ili wapigane ngumi 😂

Hebu na wewe ongezea vitu vya kijinga ulivyowahi kuona kwenye movie
Mtabisha sn lkn huu ndio ukwel wazungu kabla hawajatunga movie yyote lazima kuna watu wakae chin watunhe stpr au wachukue real story wailete kwenye movie

Sasa hapo ndio huwa yanachukuliwa matukio meng ila kaa ukijua every myth has foundation in reality

Mfano kuna movie inaitwa medusa hii movie waweza kusema ni uongo mtupu lkn real story ilitokea miaka ya zaman na kuna mtu huko alikuwa anazichapa

Movie km spartcus jumong.wrong turn .titanic ni real stor ila zinaongezewa tu vionjo

Pia kuhusu swala la mtu mmoja kutandika kijiji kizima hii kitu ipo kwa mtu aliebobea karate kuna maeneo akikuchapa huinuki

Kupigana juu ya tren ni possible sema nyiny mliozoea kula chips kuku hamuwez wenzenu wanakula funza ili kukomaza misuli hata kitambaa kinaweza kukuchana km akikitumia mtu mwenye uzoefu na mambo ya karate

Bomu kuwa na alam hivo vitu vipo
 
Wengi hua tunadhani muvi za bongo tu ndio zina vitu vya hovyo. Kiukweli muvi za kizungu pia zina maujinga mengi yasiyo na uhalisia. Hivi ni kati ya vitu vya uongo na vinavyokera hasa kwenye muvi za kizugu.

1. Bunduki kutokuisha risasi. Ushawahi ona kwenye muvi mtu ana ki bastola au SMG anamwaga risasi lisaa lizima na haziishi? Uongo mtupu.

2. Watu kupigana juu ya treni huku inatembea! Hiki ni kitu cha hovyo kabisa hata kukiwaza tu. Hata kupigana juu ya treni iliyosimama ni shughuli pevu achilia mbali inayotembea.

3. Bomu la kutegwa kupiga alarm kabla ya kulipuka. Wanajeshi wanaingia kwenye nyumba, hawajui kama kuna bomu. Mara wanasikia mlio pi pi pi pi pipipipipipi...Booom! [emoji38] saa hiyo wanakua wameshatoka nje.

4. Watu wema kushinda. Katika muvi karibu nyingi, wale watu wema hua wanashinda na watu wabaya wanauawa. Hii haina uhalisia wowote kwenye maisha ya kawaida.

5. Kuwasha gari kwa kuchomoa nyaya chini ya usukani na kuzigusanisha. Japo hii inawezekana, lakini ni ngumu mno kutekelezeka kiuhalisia. Hata fundi mwenye vifaa, inakuchukua muda mrefu sana kufanikisha hili.

6. Maadui kuweka bunduki chini ili wapigane ngumi [emoji23]

Hebu na wewe ongezea vitu vya kijinga ulivyowahi kuona kwenye movie
Ukitaka movie ya ukweli angalia porn tu(x)
 
Hii pia nimeiona sana. Yaani imefika mahali nikiona mwafrika kwenye muvi najua tu huyu atakufa mda si mrefu [emoji3]
Kuna ile eti unakuta jamaa kakutana na demu, hata hawajuani. Wanaongea maneno mawili matatu jamaa anaanza kumuangalia demu usoni halafu anamsogezea uso taratibu. Eti demu nae anasogeza mpaka wanakiss. Hii ijaribu mitaani uone utakavyolambwa makofi [emoji1787]
Movies za kibongo mtu anazikwa na Sanda anafufuka na jersey ya arsenal
Ha-ha-ha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom