Military Genius
JF-Expert Member
- Mar 3, 2019
- 761
- 1,464
.TAARABU INGINE kwenye movie za ni kwamba adui ni lazma awe mgumu sura ngumu au awe na ki group chake cha kufanya mauaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kwenye muvi za mbele kikundi cha maadui lazima wawe RUSSIANS au kiongozi atakua mrusi mzee mzee mwenye mandevu hivi na ile russian accent..TAARABU INGINE kwenye movie za ni kwamba adui ni lazma awe mgumu sura ngumu au awe na ki group chake cha kufanya mauaji
Wewe ni fala. Umenifanya nicheke mpaka nimepaliwa.Movies za kibongo mtu anazikwa na Sanda anafufuka na jersey ya arsenal
[emoji1787][emoji1787]noma sana
Ndo maana Man Utd wanaitwa Red Devils.Kuna ile ya bongo movie, jini amevaa jezi ya man united aisee nilikufa mie
Njoo kwenye uwanja wa ANNIMATION.Wengi hua tunadhani muvi za bongo tu ndio zina vitu vya hovyo. Kiukweli muvi za kizungu pia zina maujinga mengi yasiyo na uhalisia. Hivi ni kati ya vitu vya uongo na vinavyokera hasa kwenye muvi za kizugu.
1. Bunduki kutokuisha risasi. Ushawahi ona kwenye muvi mtu ana ki bastola au SMG anamwaga risasi lisaa lizima na haziishi? Uongo mtupu.
2. Watu kupigana juu ya treni huku inatembea! Hiki ni kitu cha hovyo kabisa hata kukiwaza tu. Hata kupigana juu ya treni iliyosimama ni shughuli pevu achilia mbali inayotembea.
3. Bomu la kutegwa kupiga alarm kabla ya kulipuka. Wanajeshi wanaingia kwenye nyumba, hawajui kama kuna bomu. Mara wanasikia mlio pi pi pi pi pipipipipipi...Booom! 😆 saa hiyo wanakua wameshatoka nje.
4. Watu wema kushinda. Katika muvi karibu nyingi, wale watu wema hua wanashinda na watu wabaya wanauawa. Hii haina uhalisia wowote kwenye maisha ya kawaida.
5. Kuwasha gari kwa kuchomoa nyaya chini ya usukani na kuzigusanisha. Japo hii inawezekana, lakini ni ngumu mno kutekelezeka kiuhalisia. Hata fundi mwenye vifaa, inakuchukua muda mrefu sana kufanikisha hili.
6. Maadui kuweka bunduki chini ili wapigane ngumi 😂
Hebu na wewe ongezea vitu vya kijinga ulivyowahi kuona kwenye movie
Hahaha ndio yenyeweNishaiona ule jamaa anamwaga shaba anapiga mkono risas na mkono nao unafyatua risas
Hata zile zina uongo bwanaUkitaka movie ya ukweli angalia porn tu(x)
Hii ya mwisho huwa siielewi kabisaWengi hua tunadhani muvi za bongo tu ndio zina vitu vya hovyo. Kiukweli muvi za kizungu pia zina maujinga mengi yasiyo na uhalisia. Hivi ni kati ya vitu vya uongo na vinavyokera hasa kwenye muvi za kizugu.
1. Bunduki kutokuisha risasi. Ushawahi ona kwenye muvi mtu ana ki bastola au SMG anamwaga risasi lisaa lizima na haziishi? Uongo mtupu.
2. Watu kupigana juu ya treni huku inatembea! Hiki ni kitu cha hovyo kabisa hata kukiwaza tu. Hata kupigana juu ya treni iliyosimama ni shughuli pevu achilia mbali inayotembea.
3. Bomu la kutegwa kupiga alarm kabla ya kulipuka. Wanajeshi wanaingia kwenye nyumba, hawajui kama kuna bomu. Mara wanasikia mlio pi pi pi pi pipipipipipi...Booom! [emoji38] saa hiyo wanakua wameshatoka nje.
4. Watu wema kushinda. Katika muvi karibu nyingi, wale watu wema hua wanashinda na watu wabaya wanauawa. Hii haina uhalisia wowote kwenye maisha ya kawaida.
5. Kuwasha gari kwa kuchomoa nyaya chini ya usukani na kuzigusanisha. Japo hii inawezekana, lakini ni ngumu mno kutekelezeka kiuhalisia. Hata fundi mwenye vifaa, inakuchukua muda mrefu sana kufanikisha hili.
6. Maadui kuweka bunduki chini ili wapigane ngumi [emoji23]
Hebu na wewe ongezea vitu vya kijinga ulivyowahi kuona kwenye movie
🤣🤣🤣🤣 au anatokea mtu kwa nyuma anampiga gongo la kichwa , kama sivyo unaskia mlio wa risasi paaaaaaah! unajua staring amekufa ivo. mara adui anadondoka taratiiibu huku steringi haamini amini kilichotokea , ndipo anapojitokeza mpenzi wake na kabastola mkononi , wanakumbatiana na denda juu, huku maandishi ya movie kuisha yakiwaziba msione kilinachoendelea. yan hawa sijui wanatuonaje?Eti adui kashafanikisha vizuri kumnyooshea bastola sterling lakini badala ya kumaliza mchezo ataanza maongezi hapo na tambo mpaka sterling akibetue kibastola chake na amuue halafu unakuta ni jambazi katili lenye matukio ya kutisha
Hii ipo mkuu in real life sema haitokei ovyo na wabongo wengi huiforce..Kuna ile eti unakuta jamaa kakutana na demu, hata hawajuani. Wanaongea maneno mawili matatu jamaa anaanza kumuangalia demu usoni halafu anamsogezea uso taratibu. Eti demu nae anasogeza mpaka wanakiss. Hii ijaribu mitaani uone utakavyolambwa makofi 🤣
Hahahaaa mkuu huwa nashangaaga majambazi wa aina hiyo yaani anaacha kumuua sterling on the spot anaanza kumuongelesha na kujitamba huu ni uongo kabisaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] au anatokea mtu kwa nyuma anampiga gongo la kichwa , kama sivyo unaskia mlio wa risasi paaaaaaah! unajua staring amekufa ivo. mara adui anadondoka taratiiibu huku steringi haamini amini kilichotokea , ndipo anapojitokeza mpenzi wake na kabastola mkononi , wanakumbatiana na denda juu, huku maandishi ya movie kuisha yakiwaziba msione kilinachoendelea. yan hawa sijui wanatuonaje?
🤣🤣😂😅😅Eti adui kashafanikisha vizuri kumnyooshea bastola sterling lakini badala ya kumaliza mchezo ataanza maongezi hapo na tambo mpaka sterling akibetue kibastola chake na amuue halafu unakuta ni jambazi katili lenye matukio ya kutisha