Hizi nazo ni wale wale tu mtu anaruka kutoka chini hadi ghorofa ya pili au anatembea kwenye ukuta kama mjusi hapo kuna ukweli gani? Ila bora hizi kuliko za wahindi ππView attachment 1625874
Bora hizi kidogo kuna kaukweli
Hahahaha we unashangaa hilo tafuta muvi za Steven siga yule jomba hajawahi kupigwa wala kupata mchubuko wa risasi hata kwa bahati mbaya tu kuanzia muvi inaanza mpaka inaishiaNi kweli mkuu lakini wangepunguza uongo kidogo. Nyingine ni ile eti unakuta maadui kama 10 wanapigana na Jet Li ila wanaenda mmoja mmoja anawapiga mpaka wanaisha π Sasa si wamrukie wote kwa pamoja mbona easy wangeshammaliza ππ
mkuu! hapo kwenye bunduki kutoisha mi nakataa, sababu nimetoka kucheki muvi muda si mrefu, kuna mwamba alijitia kushoot shoot zikamwishia wakamlamba ya ugoko ..
π€£π€£π€£ yaani sehemu za kupigania zipo tele huku ardhini, watu wanaenda kupanda juu ya treni ili wapigane. Halafu lazima treni itaingia kwenye tunnel hapo watalala chali mpaka upande wa pili wanaendelea tena πMinimecheka hiyo ya kupigana juu ya train[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwenye muvi zote gari hua inagoma kuwaka pale ambapo jamaa ndio anataka awatoroke maadui au mazombi.π€£π€£Hahahaha we unashangaa hilo tafuta muvi za Steven siga yule jomba hajawahi kupigwa wala kupata mchubuko wa risasi hata kwa bahati mbaya tu kuanzia muvi inaanza mpaka inaishia
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]ΠΈΠ½Ξ±Π½Ξ±Π½Ξ±Ξ±Ξ±Kuna ile eti unakuta jamaa kakutana na demu, hata hawajuani. Wanaongea maneno mawili matatu jamaa anaanza kumuangalia demu usoni halafu anamsogezea uso taratibu. Eti demu nae anasogeza mpaka wanakiss. Hii ijaribu mitaani uone utakavyolambwa makofi [emoji1787]
Star hata apigwe risasi hua hafi anaweza chezea kichapo cha hatari ila mwishoni utashangaa eti yeye ndio anashinda. Wakati huo huo maadui wakipigwa ngumi moja tu wanazima moja kwa moja wala hawaamki tena asilani π€£Haa haa ha mkuu umetisha..... na ile wakianza kupigana lazima star aanze kupigwa
Mwishoni amechoka kabisa madamu yanamvuja anaanza kumwadhibu ambae hajaumiaπππ€£π€£ππHaa haa ha mkuu umetisha..... na ile wakianza kupigana lazima star aanze kupigwa
πΉπΉπΉπΉStar hata apigwe risasi hua hafi anaweza chezea kichapo cha hatari ila mwishoni utashangaa eti yeye ndio anashinda. Wakati huo huo maadui wakipigwa ngumi moja tu wanazima moja kwa moja wala hawaamki tena asilani π€£
Mwishoni amechoka kabisa madamu yanamvuja anaanza kumwadhibu ambae hajaumiaπππ€£π€£ππ
Yaani hapo huwa nachanganyikiwa natamani nimshtue. Ila muvi zinatuweza niliangalia bird box nililia kama mtoto.Kwenye muvi ukikuta star amejificha sehemu, lazima adui atakuja mpaka hatua mbili kabla hajafika alipojificha atabadilisha mawazo na kuondoka. Au simu itaita, au ataitwa na mwenzake na kuondoka.