Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
sijui kwa nini inakuwa hivyoKweli kabisa duuuh
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijui kwa nini inakuwa hivyoKweli kabisa duuuh
I think we ni mdada pia right?Tena ikiwa mdada kwa mdada ni shida, Bora niende dirisha alilo mkaka
Hakika mkuu,Watanzania wengi hatujawa vizuri katika biashara ya huduma,,kiasi unaweza kuhisi mtu yupo pale si kwa ujuzi wake bali sura yake. Tusipobadilika wakenya nawachina watachukua ajira zote huku tukibadilisha vyama kila siku na katiba kila wiki..
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshasema unawafahamuPamoja na huduma mbovu za baadhi ya wafanyakazi wa benki labda wateja wengine nao wana matatizo. Au wengine mnaenda benki tofauti kila siku?
Benki yako(yaani una akaunti hapo muda mrefu) lazima utakuwa unajulikana na wahudumu wengi tu na mnaweza kuwa marafiki kitu ambacho kitakusaidia kupata huduma nzuri ambayo unastahili kuipata hata ukiwa huna rafiki.
Mimi ninapo-bank nawajua wahudumu wote hadi branch manager kwa sababu hii labda ndio maana napata first class service,wafanyakazi wote wa bank hadi walinzi wa security company wananifahamu na ni 'marafiki'
Habari ya kuibiwa hela na teller ukishafahamiana na hawa watu haipo,tena muda mwingine unakuta foleni kubwa au system down unamuachia hela anakugongea tu muhuri system ikiwa fresh anamalizia transaction.
Tuwaheshimu wengine na sisi watatuheshimu.
Kusoma na kuelewa ni vitu viwili tofauti.Umeshasema unawafahamu
Sie tusiependa mazoea na wahudumu hatustahili huduma nzuri?
post using my macbook air using jamiiforums app
Duh walimu wana kazi sana.
MKUU WAKATI MWINGNE DHARAU ZNATOKANA NA AKAUNT INAVYOSOMA, KAMA BALANCE NI M 5 WANAKUONA KAPUKU TU
ILA AKAUNTI INA M 100 NA KUENDELEA HUKO, OH, MBNA HATA KWENYE CM ATAKUWA ANAKUTAFUTA NA HUDUMA UTAPEWA KWA SAUT YA MAPENZ NA MACHO YA KULEGEA.
Wana stress za maisha. Wanashuka miliins of money per day lakini mwisho wa mwezi wanalipwa laki 4 na 50Wakuu za mida hii?
Leo nimeona tuwaangazie hawa dada zetu wa benki ambao baadhi yao wanadharau sana kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zako.
Kuna kipindi rafiki yangu alienda benki moja kuulizia wamefikia wapi mchakato wa kuwaita kwenye " interview " cha ajabu yule dada akamjibu nanukuu " unadhani ukijipitisha hapa ndio utaonewa huruma" .
Mimi pia kuna dada benki teller alinidharau wakati ananihidumia nikamuangalia tu.
Je wewe umekutana na lipi kutoka kwa hawa Maofisa wa kike wa benki?
Nawasilisha.
una uhakika mkuu?kama wana na marupurupu jee!we utajuaje?Wana stress za maisha. Wanashuka miliins of money per day lakini mwisho wa mwezi wanalipwa laki 4 na 50
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani wanaishi mbinguni?? Si tupo nao mitaani. Ngoja nirud hom nita capture salary slip ya mtu wa crdb
Kama ni take home hiyo nyingi sana hapo bado hamjawahonga lazima wawanyodoe ni hulka ya wavaa sketi hiyo ndio maana kuoa hao wenye pesa lazima ukome,raha ya mwanamke awe empty na tegemezinyodo nyiiiingi mshahara wenyewe 600,000
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] mecheka mnooo...mwanamke sio mwenzio;
..kama unabisha,
.ota chuchu!
Moja ya upuuuuz ambao toka niijue hela ni kutafuta marafiki kwa kujipendekeza.Sasa unafikiri kila mtu ana muda wa "kufahamiana" na mtoa huduma wa ofisi wa kila taasisi anayopita? Wengine muda ni mali na tunazo ofisi zetu pia nazo zina viyoyozi kama za hao bank tellers wenye nyodo na hata kama hazina viyoyozi zinalipa vyema kuliko visenti vyao uchwara na bado tunawaletea biashara na hatuna nyodo. By the way ni miongozo ya bank gani inaagiza ili upate huduma nzuri (ambayo ni haki yako) ni lazima uwe na urafiki na hao mahousegirl wao (bank tellers sijui)? Nakosa muda hata wa kumpigia mama mzazi nianze kupoteza muda kujipendekeza kwa KIMA ambaye hana adabu na bila mimi hana sababu ya kuwepo hapo alipo? Wajiheshimu na kuheshimu wateja bhana, heshima kitu cha bure na kwenye kazi kama zao ni kitu cha LAZIMA hata kama ana ugomvi na bwana wake.
Sent using Jamii Forums mobile app