Vituko ndani ya JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana
 
Huna akili wewe. Kwahiyo ukajifanya me na ukawa unatuchora tu tuliovutiwa na wewe. Umenipa akili. Ntafungua siku ID na mimi nitafute mchumba wa kike [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huna akili wewe. Kwahiyo ukajifanya me na ukawa unatuchora tu tuliovutiwa na wewe. Umenipa akili. Ntafungua siku ID na mimi nitafute mchumba wa kike [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaa usifanye hivyo mpenzi
Unapata pm mpaka za ma celebrity wa jf..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…