Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sanaKuna kipindi nilitest zali nikafungua Id ya kiume
Nikaweka thread ya kutafuta mchumba
Wallah pm ilifurika,
Kisanga sasa,siku moja nataka nipm na Id ya siku zote sijui ikawaje nikajikuta nimecomment na ile ya kiume...
Nilivyolog out mpaka leo sikumbuki hata jina la ile Id.