Vituko ndani ya JamiiForums

Watakuwa wanakosea sana me I'd yangu ingine naitumia nikiwa na ban tena nakuwaga open nawafata nayo mod pm najitambulisha kabisa na jukwaani nasema kabisa Mimi miss
Kwa hiyo ukijitambulisha hawawezi kuziunganisha?
 
Madamu headmistress
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Alikuja kwa mbwembwe sana akajitambulisha na picha katupia.

Mimi nilimfuatilia kwenye uzi wake wa utambulisho halafu nikamsoma nikagundua kuwa sio mgeni ila anatuchora, nikamwambia.

Siku zikapita kama miezi hivi ndio akaja kutumbuliwa akiwa kwenye intaviuu ya DJ Sepetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 

wengi wamepata pesa wamenunua simu touch ' wanajiunga na jf na wengine ni watoto na wanafunzi utawajua kwa mada zao za kipuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…