Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

[emoji13] JF bhana![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji13] JF bhana![emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]
we pita tu ila baade usijebadirika ukasema hukupita 😀😀😀😀😀😀
 
Ahahaaa laki si pesa mkuu
Sijawai kuolewa wala kuzaa
Awe tayari kwa ndoa haraka iwezekanavo kwa sababu zinaa haitakiwi
Mzee mzee atafikiriwa zaidi

Kamtoy kangu toka kazaliwe sijui kuna janga gani kalikuwa kanapata choo Mara moja kwa week nilimuuliza Dokta akasema haina shida
Sasa hivi kameanza kula misosi bado hakapupu fresh ukizingatia kanapiga menu vizuri tu kama me mama yake.kananyonya,nakablendia vyakula laini,nakapa juice papai likiwepo ,maji kanakunywa,mafuta ya samaki,grape water nayo nakapa.
Hakana shida yoyote ila I wish mtoy wangu apupu daily
Naombeni ushauri

Ila miss umezidi na wewe
 
Back
Top Bottom