Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Alikuja kwa mbwembwe sana akajitambulisha na picha katupia.

Mimi nilimfuatilia kwenye uzi wake wa utambulisho halafu nikamsoma nikagundua kuwa sio mgeni ila anatuchora, nikamwambia.

Siku zikapita kama miezi hivi ndio akaja kutumbuliwa akiwa kwenye intaviuu ya DJ Sepetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sitakaa nisahau ile interview[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila dj alisaidia sana team fisi wa humu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Alikuja kwa mbwembwe sana akajitambulisha na picha katupia.

Mimi nilimfuatilia kwenye uzi wake wa utambulisho halafu nikamsoma nikagundua kuwa sio mgeni ila anatuchora, nikamwambia.

Siku zikapita kama miezi hivi ndio akaja kutumbuliwa akiwa kwenye intaviuu ya DJ Sepetu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa kuchora watu tu humu aaaaaaaaaaaaaaaaaaa wengi sana hatujambo mbona ! Ukiingia kingi tu ukashobokea id mpya tu mzeiya umeanikwaaaaaa. This is jf nowadays

Cc Smart911
 
Kuna mtu humu anaitwa Giresi aliwahi kuja na uzi ana makalio makubwa mpaka anashindwa kutembea!Uzi ukafika page 200+ Moderator wakiwa kwenye zoezi la kuunga multiple ID ile ID ya uzi ikaungwa na mwanaume mmoja star sana humu JF

Bujibuji alimmaindi sana huyo mleta uzi
hahaaaa acha masihara basiiii
 
Back
Top Bottom