Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

Kituko kimoja ambacho kiliniacha hoi ni cha member mmoja kusema kuwa hawez kupanda daladala, wakati anapoishi hata gari haliwezi kuingia
😀😀😀😀😀😀😀
 
Kituko kimoja ambacho kiliniacha hoi ni cha member mmoja kusema kuwa hawez kupanda daladala, wakati anapoishi hata gari haliwezi kuingia
Ndio maana tunakataa kutumia majina yetu halisi, maana unaweza kuleta mbwembwe halafu watu wanakuchora tu kwenu nyumba ya udongo
 
Back
Top Bottom