impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,764
- 7,758
Aisee jf raha sana.Kituko kimoja ambacho kiliniacha hoi ni cha member mmoja kusema kuwa hawez kupanda daladala, wakati anapoishi hata gari haliwezi kuingia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee jf raha sana.Kituko kimoja ambacho kiliniacha hoi ni cha member mmoja kusema kuwa hawez kupanda daladala, wakati anapoishi hata gari haliwezi kuingia
Nilimsubiri kwa hamu ili akione cha mtema kuni, ila kaharibu movie mwenyeweAlikuwa anakupanga,ukikaa vizuri akuchinje
Mambembe
hahahaaa kwhiyo pm nimigegedo tu ama !?Mnajadili siasa pm.nyie ni wahaini ama nini?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sitakaa nisahau ile interview[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila dj alisaidia sana team fisi wa humu
Ndio hivyo alikuwa anatafuta pa kuingiliaLabda alitaka akupige mpunga
Ah ah ah ah ah ah ah Numbisa Umenifanya Nicheke Sana Ndugu Yangu
Jf raha sana.Nilimsubiri kwa hamu ili akione cha mtema kuni, ila kaharibu movie mwenyewe
Bosslady na Mali za urithi.watu walitaka kumchuna Dada wa watu.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ilivunja rekodi sana ile intaviuu
Loooh nitakuja kusema nawaletea mjukuuuHongera dada kwa kuolewa, ila kesho usiseme mke wangu ana ujauzito 😀😀😀😀😀😀
Ndio maana tunakataa kutumia majina yetu halisi, maana unaweza kuleta mbwembwe halafu watu wanakuchora tu kwenu nyumba ya udongoKituko kimoja ambacho kiliniacha hoi ni cha member mmoja kusema kuwa hawez kupanda daladala, wakati anapoishi hata gari haliwezi kuingia
Siwezi kujivalisha bomu aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bosslady na Mali za urithi.watu walitaka kumchuna Dada wa watu.
Mi huko simo 😀😀😀😀😀😀😀😀
Ah ah ah ah ah ahLoooh nitakuja kusema nawaletea mjukuuu
Aithee Umemwita Jina Nzur Kiasi Kwamba Mshana Huko Alipo Ameshutaka Gafla