Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

Mm zaidi nilikua namwangalia huyo anayesema sijui na I'd mbili sijui nilimqote hata thread hajawahi anzisha yaan anataka kiki nitampa kiroho safi
Achana nae embu tufurahi zetu sisi. Sema Mambembe nae sijui alipotelea wapi jomoni. Nilikua nakaa kwa hamu nasubiria chambo langu maana aliniambia ananisubiri kwa hamu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaa mabazazi wanatusoma tu hapa

Na wengi wamebadili Id kama siyo wamekufa ama kubanwa sana na majukumu...

Aaah niacheni mie ,nna makaburi yangu yakifukuliwa mtakaa pembeni tu mnagonga viganja...
Am sorry mama mchungaji and money lady
Mmmmhhh Ebu Yasema Hayo
 
Back
Top Bottom