Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

namuita huyo shog angu alosema mim ni impogo aje hapa athibitishe
Kwa niaba yake tu mi nikuombe samahani kwausubbufu uliupata, maisha yana furaha na huzuni pia. Ila vyote huzuni na furaha husababishwa na watu. Kwa hiyo pole sana chukulia ni sehemu ya maisha tu, na endelea na mambo mengine kiroho safi bila kinyongo. Ila kuna msemo waswahili wanasema ukitaka kumvua pweza lazima umchokoze kwanza, inawezekana huyu anataka kuvua pweza 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom