Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
8,870
Reaction score
14,258
Grereza la Kober analoshikiliwa aliyekuwa rais wa Sudan, Omar Albashir limevunjwa na mahabusu wote kukimbia. Vikundi vinavyopigana kila kimoja kinaonesha kutokuwa na uhakika wa sehemu alipo kiongozi huyo wa zamani anayetafutwa na ICC.

Jeshi la Sudan chini ya generali Burhani limesema kiongozi huyo walimuhamisha mapema kumpeleka hospitali ya jeshi kweny ulinzi mkali. Wakati huo huo upande wa generali Dagalo umesema jeshi hili limemtorosha ili kumrudisha madarakani.

Mmoja wa mahabusu hao wanaotafutwa na ICC aitwaye Ibrahim anasema baada ya gereza hilo kupigwa na makombora na kukosa huduma za chakula na maji ilibidi yeye na wenzake waondoke kwa ajili ya usalama wao..Hata hivyo hakumtaja Omar Albashir kuwa alikuwa miongoni mwao.Amesema yeye amependa ajisalimishe kwenye kituo chochote cha polisi lakini vituo vyote amekuta havifanyi kazi.

Video moja ya mtandaoni imewaonesha mahabusu hao wakiwa wamebeba mikoba yao kuingia mitaani baada ya gereza hilo kuvunjwa.

6bb1c6326a2f816fa06a0afee20e8d16
 
Kwa mujibu wa ripoti za mahojiano ya wachambuzi wa siasa za Sudan waliopo Sudan, na BBC, Al- Bashir alikuwa hayupo gerezani hapo muda mrefu kabla machafuko hayajaanza, na hajulikani alipo.

Kifupi machafuko haya ndiyo yamefanya watu wajue Bashir hakuwa gerezani kama ilivyojulikana.
 
Grereza la Kober analoshikiliwa aliyekuwa rais wa Sudan,Omar Albashir limevunjwa na mahabusu wote kukimbia. vikundi vinavyopigana kila kimoja kionesha kutokuwa na uhakika wa sehemu alipo kiongozi huyo wa zamani anayetafutwa na ICC.
jeshi la Sudan lchini ya generali Burhani limesema kiongozi huyo walimuhamisha mapema kumpeleka hospitali ya jeshi kweny ulinzi mkali. wakati huo huo upande wa generali Dagalo umesema jeshi hili limemtorosha ili kumrudisha madarakani.
Mmoja wa mahabusu hao wanaotafutwa na ICC aiitwaye Ibrahim anasema baada ya gereza hilo kupigwa na makombora na kukosa huduma za chakula na maji ilibidi yeye na wenzake waondoke kwa ajili ya usalama wao..Hata hivyo hakumtaja Omar Albashir kuwa alikuwa miongoni mwao.Amesema yeye amependa ajisalimishe kwenye kituo chochote cha polisi lakini vituo vyote amekuta havifanyi kazi.
Video moja ya mtandaoni imewaonesha mahabusu hao wakiwa wamebeba mikoba yao kuingia mitaani baada ya gereza hilo kuvunjwa.
6bb1c6326a2f816fa06a0afee20e8d16
Kuna point unajuta kwanin umekua mwafrika kuna mambo sis ngozi nyeusi sis tunafanya ya hovyo sana
 
Kwamba kila asiyekua ngozi nyeusi au asiye kuwa mwafrika ndie anayefanya kwa usahihi kuliko wote?
Hapana angalia inchi za afrika hali ilivyo na inchi za watu weupe hawako perfect ila wako mbali sana tofauti na mwafrika

Yaan mwafrika ni mtu anayependa shortcut, mbinafsi, conman, na ana upeo mdogo yaan anafikiria leo na sio kesho
 
Kuna point unajuta kwanin umekua mwafrika kuna mambo sis ngozi nyeusi sis tunafanya ya hovyo sana
𝐌𝐚𝐰𝐚𝐳𝐨 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐮𝐮𝐳𝐢, 𝐔𝐦𝐞𝐟𝐮𝐚𝐭𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐖𝐞𝐮𝐩𝐞 𝐮𝐤𝐚𝐨𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐩𝐨 𝐒𝐚𝐡𝐢𝐡𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐲𝐨𝐨𝐭𝐞, 𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐤𝐮𝐣𝐢𝐬𝐡𝐮𝐬𝐡𝐚!!
𝐇𝐢𝐳𝐢 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐳𝐚 𝐕𝐢𝐭𝐚 𝐧𝐚 𝐯𝐮𝐫𝐮𝐠𝐮 𝐳𝐢𝐩𝐨 𝐭𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐝𝐮𝐧𝐢𝐚 𝐢𝐮𝐧𝐝𝐰𝐞!!
 
𝐌𝐚𝐰𝐚𝐳𝐨 𝐲𝐚 𝐤𝐢𝐩𝐮𝐮𝐳𝐢, 𝐔𝐦𝐞𝐟𝐮𝐚𝐭𝐢𝐥𝐢𝐚 𝐖𝐞𝐮𝐩𝐞 𝐮𝐤𝐚𝐨𝐧𝐚 𝐰𝐚𝐩𝐨 𝐒𝐚𝐡𝐢𝐡𝐢 𝐤𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐲𝐨𝐨𝐭𝐞, 𝐚𝐜𝐡𝐚 𝐤𝐮𝐣𝐢𝐬𝐡𝐮𝐬𝐡𝐚!!
𝐇𝐢𝐳𝐢 𝐦𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐳𝐚 𝐕𝐢𝐭𝐚 𝐧𝐚 𝐯𝐮𝐫𝐮𝐠𝐮 𝐳𝐢𝐩𝐨 𝐭𝐚𝐧𝐠𝐮 𝐝𝐮𝐧𝐢𝐚 𝐢𝐮𝐧𝐝𝐰𝐞!!
Sio upuuzi angalia inchi za kiafrika zilivyo labda kwa sababu hujawah tembea nchi tofauti tofauti siku ukitembea utakubaliana na mim

Ukienda kwenye inch nyingi za western, china, south korea au japan utakacho kiona kule kupo organized, kusafi, wastaarabu, na mambo mengi yamenyooka njoo nchi za afrika hakuna mipango miji, kuchafu, yaan vurugu vurugu tunasafari ndefu sana waafrika
 
Back
Top Bottom