Vituko:Ukiulizwa umepata wapi namba yangu unajibu nini?

Yani tunajuana alf unaniuliza namba nmetoa wapi, mi huwa naiibu "kama hutaki mawasiliano na mm sema sio unaniuliza namba nmetoa wapi"

Short Clear.
 
Ila ni kweli ulipewa na nani namba yake?
 
Unajibu Nimeitafuta Kuna mtu kanipatia ila nimemsahau umepita muda kidogo toka anipe
 
Rahisi tu! weye Mwambie hivi ulinipa weye mwenyewe siku ileee kwenye daladala... kwani umeshahu mara hii tu? hapo kwa kujikosha utasikia alaaah! kumbe ni wewe??,,nimekukumbuka samahani,,si unajua tena kazi zetu hizi mara ivi mara vile!!

ataendelea enhee!! lete habari!!
 
Yani tunajuana alf unaniuliza namba nmetoa wapi, mi huwa naiibu "kama hutaki mawasiliano na mm sema sio unaniuliza namba nmetoa wapi"

Short Clear.
Mbususu invoita unaijibu ivo?... utaikosaaa! hiyo!
 
Hahhahaah sawa. Amina
Namba unabidi kutoa kumuuliza mtu habari za namba yangu umetoa wapi utapishana na bahati Kuna mjinga mmoja Mwanamke alipigiwa simu ya kwenda kufanya Kazi baada ya kufaulu interview at the end kawa fainted hearted.
 
Nikiulizwa najibu nmeiokota
 
Nimeomba kwa aliyekuwa boyfriend wake wa zamaniπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…