Temanyika wa Nyika
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 201
- 309
Weweeee ni kweli Hajar,nimeiona miaka ya nyuma jamaa alikuwa hajaoa alikuwa anafanya kama Chambo Kwa wadada,siku moja mama mwenye nyumba akampanga BINTI yake ajitose kwa jamaa akampikie ili waanzishe urafiki ili wawe wanapata mchele angalau,BINTI akakubali kujitosa,kupiga hodi akaingia kimoja kamkuta jamaa na jiko LA mchina anasonga ugali,hapo sasa fikiria kilichoendelea kwa uswahiliniHahaaa. Kuna ile mtu anapeta mchele kibarazani kila siku kumbe anao huo huo robo sijui nusu na kila akiingia ndani anasonga ugali. Lol
[emoji1] [emoji1] anisamehe tu kwakweliHahahaaa. Anakuangalia huku anasikitika kwa jinsi unavyomsingizia rafiki yako.
Hahaha sijaupata badoMambo ya uswazi hayo...ujumbe wangu kutoka kwa demi umeupata? Hahahahaha
Hahahaaa. Yaani miaka ya nyuma uswahilini kulikuwa na mambo sana aiseee.Weweeee ni kweli Hajar,nimeiona miaka ya nyuma jamaa alikuwa hajaoa alikuwa anafanya kama Chambo Kwa wadada,siku moja mama mwenye nyumba akampanga BINTI yake ajitose kwa jamaa akampikie ili waanzishe urafiki ili wawe wanapata mchele angalau,BINTI akakubali kujitosa,kupiga hodi akaingia kimoja kamkuta jamaa na jiko LA mchina anasonga ugali,hapo sasa fikiria kilichoendelea kwa uswahilini
Haaa mushenga kala pesa barua hajafikishaHahaha sijaupata bado
Mwanamke was kiswahili akitaka kumwambia mwanaume ni handsome utaskia tu
"Kwendraaa we huwezi kukosa girlfriend"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ingekuwa sio kuwa na familia ningependa kweli kwenda kuishi huko nipange kachumba kangu nifaidi vituko vya kila siku .Yaani kila siku utacheka kuongeza umri Wa kuishiHahahaaa. Yaani miaka ya nyuma uswahilini kulikuwa na mambo sana aiseee.
Na ilikuwa hakuna ile kujishtukia ujue.
Hahahaaaa. Usijali rafiki.[emoji1] [emoji1] anisamehe tu kwakweli
Hahahaa. Kabisa yaani huwa vituko haviishi kule.Ingekuwa sio kuwa na familia ningependa kweli kwenda kuishi huko nipange kachumba kangu nifaidi vituko vya kila siku .Yaani kila siku utacheka kuongeza umri Wa kuishi
ah ah ah ah ahaaaaaπππππ‘ hatariiUkipata majirani wa hivyo mshukuru Mungu, huku uswahilini kwetu ni mwendo wa kupiga chabo dirishani tu.
BambinoUswahili hakuna nepi wala pedi kuna malizia.........
Wanafanya kuhesabu miezi na mtoto haji teeeeheUswahilini raha..ukinenepa tu kidogo katumbo kakaja mbele..utasikia "ana mimba yule na ile itakua ya leo ya kesho..mwili tu ule unamstiri"mweh uswahilini bana
Hahaha mshenga apiiiigweHaaa mushenga kala pesa barua hajafikisha
Yani..na wanajiweza atii..sasa tumbo lipungue utasikia"ametoa mimba mtoto mbaya yule" kama walisaidia kushika miguu wakati napigwa jerk..uswahili shida sanaWanafanya kuhesabu miezi na mtoto haji teeeehe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani..na wanajiweza atii..sasa tumbo lipungue utasikia"ametoa mimba mtoto mbaya yule" kama walisaidia kushika miguu wakati napigwa jerk..uswahili shida sana
Mikoani nako kuna uswahilini au hii ni kwa Dar tu?