Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
- Thread starter
- #41
Duuu hapa si balaa mzee baba...Mambo ya uswahilini kuvunja nazi njia panda,
Kufua kondomu ulizotumia na kuanika kwenye kamba uani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuu hapa si balaa mzee baba...Mambo ya uswahilini kuvunja nazi njia panda,
Kufua kondomu ulizotumia na kuanika kwenye kamba uani!
HahahaTembele mpaka la 50 majan manne
Hahahaha aiseeHahaha
Mie nilibaki hooi ati kama una kasha la kiberiti unauziwa njiti tuu za 50
Hahaaa. Itakuwa hivyo.Ha ha kwaiyoo mchele ni big deal
Huko unaitwa ubwabwa....hadi wazee wanaupiganiaHahaaa. Itakuwa hivyo.
Hahahaaaaa.Huko unaitwa ubwabwa....hadi wazee wanaupigania
Hahahahah sheeeeenze nimecheka kifalaMwanamke was kiswahili akitaka kumwambia mwanaume ni handsome utaskia tu
"Kwendraaa we huwezi kukosa girlfriend"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mambo ya uswazi hayo...ujumbe wangu kutoka kwa demi umeupata? HahahahahaHahahahah sheeeeenze nimecheka kifala
Hahahaa. Sio mimi bana rafiki.Kwahiyo umepeta sana mchele wa maonyesho eh au majirani ndio walikua na hizo tabia? [emoji2] [emoji2]
Hahah!! Sawa rafiki nikajua ni wewe bhnHahahaa. Sio mimi bana rafiki.
Nilikuwa naona kwa majirani, mie Dingi angu uwezo wa kununua mchele alikuwa anao bana na hata kama akiwa hana basi desh zilikuwa zinahusika ila sio kuigiza. Hahahaaaaa.
Ngarenaro hiyo enzi hizo. Lol
Hahahaaaaa. Ila rafiki Mungu anakuona aiseeeee.Hahah!! Sawa rafiki nikajua ni wewe bhn
Kwa jiji la Arusha,kuna sehemu panaitwa Mbauda JR; hyo mitaa imejaa uswahili hatar!Kama arusha kuna uswahili mwingi sana
Hahahaaa. Hao nao ni noma aiseeee.Daah...! kuna wale ambao akisikia tu kuna sauti ngeni nyumba ya pili atafanya juu chini awaone, mara utaona anakuja kuzima hata visivyo azimika ili mradi tu awone wagen wangu🙁
Heheh!! Tena huko sio kuniona tu bali ni kuniangalia kabisa [emoji23][emoji23]Hahahaaaaa. Ila rafiki Mungu anakuona aiseeeee.
Sababu sio kwa kujua huko.
Hahahaaa. Anakuangalia huku anasikitika kwa jinsi unavyomsingizia rafiki yako.Heheh!! Tena huko sio kuniona tu bali ni kuniangalia kabisa [emoji23][emoji23]
Ngarenaro pia. Hahahaaaa.Kwa jiji la Arusha,kuna sehemu panaitwa Mbauda JR; hyo mitaa imejaa uswahili hatar!