naogopa kuwa maiti
kweli lakini kunaogopeshaUliumbwa kwa udongo na msvumbini utarejea
Pozi la kulazana kifudi fudi silipendi kabisa,kuumizana tu mbavu! Nikifa mimi nitafutiwe kiti kimoja murua nikae kwa mkao wa kucross miguu kabisa!kweli lakini kunaogopesha
mtu akijigonga kwenye kitu utadondoka vibaya sana sema utakuwa husikiiPozi la kulazana kifudi fudi silipendi kabisa,kuumizana tu mbavu! Nikifa mimi nitafutiwe kiti kimoja murua nikae kwa mkao wa kucross miguu kabisa!
msome kwenye profile yake kaandika kazi yakemkuu kwani ulishafanyaga kazi.
Huyo atakuwa ameingia site ambayo si yake, hivyo trafiki atafika kupima ajali na uchakavu utakaokuwa umesababishwa na impact then bima ihusike!mtu akijigonga kwenye kitu utadondoka vibaya sana sema utakuwa husikii
basi nitaongea na watu wa mochwari wakuwekee kitiHuyo atakuwa ameingia site ambayo si yake, hivyo trafiki atafika kupima ajali na uchakavu utakaokuwa umesababishwa na impact then bima ihusike!
Kuna mzee mmoja majuu huko alizikwa akiwa amekaa kwenye pikipiki yake aliyokuwa anaipenda aina ya Harley Davidson [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pozi la kulazana kifudi fudi silipendi kabisa,kuumizana tu mbavu! Nikifa mimi nitafutiwe kiti kimoja murua nikae kwa mkao wa kucross miguu kabisa!
Sina mbavu haaaa,haaaa umeuaaaaKufanya kazi monchwar inaitaji ujasir sana binasfi nna kakaangu alikuwa anafanya kazi huko
Kila siku alikuwa ananiambia daaaaah ile kazi bila kuvuta mmea uwezi piga
Kuna maiti zinaletwa pale zaajabu
-zingine eti zinaamka zinafanya mazoezi zikimaliza zinakufa tena
-zingine ukiziangalia sana zinaamka zinakuuliza unamuangalia nani zingine zinakukonyeza
-zingine zilikuwa zinamuomba adi simu ziwapigie ndugu zao we acha tu
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Watu wengine tuna mapenzi na vitu ambavyo kuzikwa navyo ni kumjaribu Mungu wakati hajaribiwi!Kuna mzee mmoja majuu huko alizikwa akiwa amekaa kwenye pikipiki yake aliyokuwa anaipenda aina ya Harley Davidson [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]