Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Kuna dharura imetokea.... Hatukuweza kufanya interview vizuri.. Tumekatisha.. Taarifa za msiba wa mzee concord ndio kanipa yeye na Salum wa Tiger bar pia.. Naondoka kwenda Dar muda huu
 
Kile kijiwe kuna akina Bedui, Beka, kuna mzee mmoja anafanana na Mizengo Pinda, mzee Jose, Kobelo sijui, kuna mzee mmoja mpemba ana matusi sana nk
Huyo mpemba anaitwa mzee supa.
 
Pale mwananyamala hospitalini ile asubuhi kuna jamaa alikuja akidai hana nauli ya kumfikisha gongo la mboto akaomba tumsaidie jero tukampa tukijua kweli kapigika,

Ile tumekaa kidogo tumejisahau tukamwona tena yupo kwa watu wengine akiomba pesa,
Kesho yake tena akaja mwingine na gia ile ile ,
Hapo ndipo machale yaliponicheza kuwa huu ni usanii.
 
Nilinunuaga wanawake wawili uwanja wa fisi kwa bei hiyo mwaka 2013, unataka kuniambia mpaka leo hsijapanda?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aisee [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hebu naomba farusofia uwaambie na wadada wengine wa JF wenyeji wa Mwananyamala wajitokeze kusema neno
Me nimezaliwa A nimesoma mwananyamala B ile ya mwalimu Ndeka ninachokumbuka Ni mishkaki ile ya mia na kingine hapo minazini kuna nyumba pembeni inauza unga toka nipo mdogo mpaka leo halaf mbele kidogo kama unataka kwenda sokoni kushoto kulikua kuna nyumba imejaa mashoga wakina zungu yaan tukipita tukitoka shule tunawashangaa
 
Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa umeua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…