Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] pale mahali basi tu.. Mwananyamala pia walikuwepo wengi tuu na wa kupigisha simu nje ya nchi.. Ticket za ndege nk.. Yani inasoma kabisa... Unasafiri kwenda china na kurudi kwa laki 7 tuu
Yeah,nasubiri ya kwa MANJUNJUMakaburi ya kwa kopa
Hayo ya kwa Kopa si umeona open space la kumwaga.Makaburini kwa mwananyamala zipo sehem mbili maarufu.
1.Makaburi ya Mwananyamala KWA KOPA, ndo happ kwenye picha ambapo watu hupita na kutokea mwananyamala hospital
2.Mwananyamala Kwa Manjunju kuna mbuyu mkubwaaa na makaburi "ingawa kwa sasa yameshajaa".
Vibaka wengi wapo kwa MANJUNJU
Pole sana ndugu,ila kiwanja kikongwe sana kileZimebaki story... Mk Grand nilishawahi kuwekewa madawa ya kulevya kwenye ginyagi ila nikasurvive
Ilikuaje?Zimebaki story... Mk Grand nilishawahi kuwekewa madawa ya kulevya kwenye ginyagi ila nikasurvive
Same situation happened to me,nikiwa kwenye daladala,nikaodondoshea ndani ndo salama yangu,sitoi simu maeneo yaleUmenikumbusha hiyo ya maeno hatari kwa wizi wa simu miaka kama mi4 iliyopita hivi mida ya sa 10 alfajiri tunarudi toka njenje tupo kwenye gari kwa mama zakaria tunamshusha rafiki yetu mmoja nimeshika simu nachat kioo nimeshusha hata mtu alipotokea sijamuona anataka kukwapua simu yangu nilichofanya niliidindosha chini ndio salama yangu bila hivi simu ilikua inaenda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kujichunguza sehem nyet!!!Nakumbuka mwaka 2009,nililala guest fulani ipo maeneo karibu na mwananyamala magengeni.Naamka asbh nakuta suruali yangu haipo ndani wakati niliiweka kwenye kiti pembeni kabla sijalala.Kuchunguza dirishani nikakuta kuna tobo limetengenezwa.Nikajua tayari nishapigwa,nikatoka nje ya ile guest ili kujua ilipo nguo yangu,nikaikuta nje ya uzio imetupwa.Kusachi mfukoni nikakuta atm card zangu, ila hela hakuna,nilikuwa nimeacha mia tano ya noti.Nilishukuru sana kwani kabla sijalala usiku nilijihami kwa kuficha hela zote chini ya mto.Ila nilijiuliza hawa jamaa walipuliza dawa ya usingizi usiku ama,maana sikushtuka na wakaweza kuitungua suruali kwa uzuri hadi kutimiza mission zao,ilibidi hadi nijichunguze sehemu nyeti kama hawajafanya yao,maana usingizi ulikuwa mzito sana.
Basi jamaa waliwafaidi aiseeMkuu hilo gogo ukikalia ukanyanyuka mwenzako anakimbilia nafasi, na ukirudi unalianzisha unataka sehemu yako.
Ule mbuyu uacheni kama ulivyo... Yule nesi aliyepoteaga alipatikana paleHayo ya kwa Kopa si umeona open space la kumwaga.
Manjunju kwenye huo Mbuyu manyau nyau alihangaika na huo mbuyu akatoa madude akasema ni chuma ulete, kuna sehemu kuna geti kubwa kila anayepita anachajiwa 200 na mapato ndiyo yanaangukia hapo.
Huyu anapatikana maeneo ya mwananyamala kwa njunju.. Jamaa alikuwa genius..! Yaani hao jamaa wa dstv na star times ilibd wamuulize kwanza aliwezaje wezaje kutoa huduma mixer kwa raia zaidi ya 2000 bila ya kugundulika..! Alitumia sayansi gani..! [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Ahhha na kuna jamaa aliwahi kukamatwa sema location sikumbuki vzur,yeye alikuwa anakuunganisha dstv,azam ,startmies,nk kwa Pamoja nadhani alkuwa anachaji bk 5 pekee
[emoji23] [emoji23]Basi jamaa waliwafaidi aisee
Nilikoma sana na nimejifunza kuhusu yale maeneoSame situation happened to me,nikiwa kwenye daladala,nikaodondoshea ndani ndo salama yangu,sitoi simu maeneo yale
Mwenyewe ningekupa mtusiNikiwa maeneo fulani nikaitwa baa kufika nikaagiza soda baada ya muda washkaji wakajua natokea mwananyamala, wakaniambia umeishi Mwananyamala halafu haunywi pombe?
Nikajibu ndiyo.
Wala hauvuti sigara wala bangi?
Nikajibu ndiyo.
Mshkaji akamalizia 'Ms.nge unajifanyisha siyo kweli'
Kibesi refa mcheza kareti.. Alikuwa ukimzingua haukawii kula mawashi..!Kulikuwa na baunsa anaitwa Kibesi na mwengine Kiwiko.
Vurugu zikianza wanafunga geti la uwanja wa mwananyamala B
Kuanzia KITUO CHA SHULE kwenda kwa manjunju to Ujiji usitoe simu,mbele kule kupo safe hadi MakumbushoNilikoma sana na nimejifunza kuhusu yale maeneo