James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Kuna mmoja alikuwa Tanga huwa anasema " Akishawai kuhamisha watu msikiti"Yale maneno ndo raha ya draft yenyewe,unasikia jamaa anakuambia eti" Mimi nimewahi pewa mke na mimba yake sababu ya hivi vitu sasa wewe unakuja kujifunzia kwangu" hahahaha