Enzi hizo sasa bajaji ndiyo zinaanza anza ile junction ya kituo cha Kwa Kopa mbele ya gas station ya Camel, basi kuna bajaji inanyoosha halafu kuna vitz inataka kuingia highway, ikamkosa kosa mwenye bajaji.
Mwenye bajaji akasimamisha bajaji mbele ya ile vitz akaanza kutukana, vitz ina tinted hatuoni ndani.
Bwana wakashuka waliokua kwenye vitz, vikatoka vipande viwili vimejaa balaa, yule mwenye bajaji akawasha bajaji fasta aondoke.
Wale wasnge wakairukia ile bajaji wakaidaka wakaizuia.
Bajaji haikuondoka. Wakawa wanaserereka nayo. Jamaa mmoja akampiga kofi yule dereva wa bajaji, mwana akayumba halafu wadau ndiyo wakamuachia