Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Nani anamkumbuka zoro muuza sambusa?? Kwa babu lakidi?? Nawaseme hotel??
Zoro hahahahahaha jamaa alikuwa anatumia left hand yupo fasta hatar katika kuchota kachumbari pale ulikuwa unapata sambusa,maandazi na chapati mayai bila kusahau bagia na kiepe dah siku zinaenda kasi sana
 
halafu we muhenga mwenzangu km unamjua CSTO tulikuwa wote enzi za nzile tuiton ya AL CAEDA mtihani wa la saba tunafanya chini ya ulinzi wa polisi na mtutu
we utakuwa ni wa enzi ya Class ya kina A lijoh F kawle. H sadallah.
J sembja(bonge) J sato kina chozi M kabali dadamkuu ZENA E PANTALEO mtoto wa mwalimu john Octavion tukawa tunamuita babu kutokana na vimvi zake ni wengi ila nimewataja wachache coz tulikuwa ICON tunategemewa sana darasa la A lile lililokuwa mkabala na ofisi za walimu ukiingia tu getini mbele ramani ya afrca na muembe

enzi hizo kabla haijagawanywa kuitwa MINAZINI
Hahahahahaha umesahau kina msimbe,faza,jaru lashku n.k mm nilikuwa 7a na kina jones,job,yusr bkr,sharifa n.k hahahahahaha hapa jf ni kwikwi aseeeeeh ila goma liendelee tu tutakutana strt
 
mwembechai timu yako ilikuwa ipi KAGERA RANGERA au MESSINA ya mtaa kondoa
kombe la kinesi hiyi
fainaki kagera na messina penart ya mwisho tunaangalia nje ya uzio wa mabati maana lazima ngumi zilike
MAMAANGU mdogo alikuwa anakaa NYUMA ya gholofa kongwe so nilikuwa nakuja sana magomeni weekend kwa brozangu
hicho kidaraja ukishavuka unatokea uuwanja wa rasco ukipandisha juu unatokea kwa ngilangwa au kwa jolijo mnavuka mto ng'ombe noma

umesahau na Nyarugusu f.c, siku ikipigwa game kagera ranger vs nyaragusu, uwanja wa makurumla hakukaliki, nimesoma karume pr, kitaa kagera mikoroshini
 
mwembechai timu yako ilikuwa ipi KAGERA RANGERA au MESSINA ya mtaa kondoa
kombe la kinesi hiyi
fainaki kagera na messina penart ya mwisho tunaangalia nje ya uzio wa mabati maana lazima ngumi zilike
MAMAANGU mdogo alikuwa anakaa NYUMA ya gholofa kongwe so nilikuwa nakuja sana magomeni weekend kwa brozangu
hicho kidaraja ukishavuka unatokea uuwanja wa rasco ukipandisha juu unatokea kwa ngilangwa au kwa jolijo mnavuka mto ng'ombe noma
kagera rangers..enzi za akina juma bai
 
Bila kumsahau mtuma salamu maarufu na mshiriki wa kipindi cha chemsha bongo...Mohamed Kiyaiyai..mzee wa niambrieeeee...kutoka KomaKoma .
Huyu alikuwa anazinguana sana na Misanya Bingi...yaani akipiga simu anaanza kutaja washikaji walioko pembeni yake kama kumi hivi halafu ndio aanze kuwatumia salamu watu watatu...yaani ndani ya sekunde 60 anakuwa keshatuma salamu kwa watu zaidi ya 15 hivi....Misanya Bingi alimshtukia akawa anamgongea kipusa na kumkata hewani.
Halafu misanya alikuwa anamkomesha kwa kugonga kipusa kama dakika moja hivi...yaani ukitafsiri ni kama vile alikuwa anamporomoshea mitusi kwake na kwa ndugu na masela wake.

Yaani huu utundu wa wabongo ungekuwa ni wa kutengeneza vyombo vya anga mwezini tungekuwa tushahamia.

dah namkumbuka sana huyo jamaa alikuwa anaongea hatari, nilikuwa primary kipindi kilikuwa saa 2 hiv usiku, nilikuwa sikosi kusikiliza
 
Enzi hizo sasa bajaji ndiyo zinaanza anza ile junction ya kituo cha Kwa Kopa mbele ya gas station ya Camel, basi kuna bajaji inanyoosha halafu kuna vitz inataka kuingia highway, ikamkosa kosa mwenye bajaji.

Mwenye bajaji akasimamisha bajaji mbele ya ile vitz akaanza kutukana, vitz ina tinted hatuoni ndani.

Bwana wakashuka waliokua kwenye vitz, vikatoka vipande viwili vimejaa balaa, yule mwenye bajaji akawasha bajaji fasta aondoke.

Wale wasnge wakairukia ile bajaji wakaidaka wakaizuia.

Bajaji haikuondoka. Wakawa wanaserereka nayo. Jamaa mmoja akampiga kofi yule dereva wa bajaji, mwana akayumba halafu wadau ndiyo wakamuachia
 
Hahahahahaha umesahau kina msimbe,faza,jaru lashku n.k mm nilikuwa 7a na kina jones,job,yusr bkr,sharifa n.k hahahahahaha hapa jf ni kwikwi aseeeeeh ila goma liendelee tu tutakutana strt
7A tulikuwa class moja mkuu yaan wewe na SHUNIE tunafahamiana vizuri tu coz shunie na AMINA RAMDHANI (R.I.P) na H KISTU Walikuwa wanasoma darasa moja na DADAANGU ila hizi ID tu jamani tunatukanana kumbe ni wamoja
ticha mbogolo maarifa jamii alikuwa haandiki ubaoni anatusomea tu yaan
MSIMBE mpk leo yupo vilevile na wembamba wake ALIOA mwakajuzi kma sikosei tulikuwa wote na group ya MWANANYAMLA B P school nilikuwa napata taarifa nyingi za watu hasa MKUMBA alikuwa anapenda sana umoja km zamani HADIJA KISTU tulikuwa nae kwenye group pia pamoja na CHINGWI esta KIMARO na hao wote ulowataja na niliowataja
 
Hahahahahaha stanley bishoo,
 
Tulikuwa tunapiga sana msuli kipindi kile kuna alqed ya kina sadalah,lijoh,loko,chiundo, nk na ile ya kina kawale,mkute,chozi, nk
 
Kipindi hiko ndo kulikw na wazee wa chimbo kuna jamaa yangu m1 alikuwa anaitwa kamal dah sijui yupo wap huyu alikuwa anaenda kukata mbao za misalaba makabulini anapeleka kwa mama muuza mihogo ili apewe mihogo daaaaaah nyamala hii
 
Hahahahahaha umesahau kina msimbe,faza,jaru lashku n.k mm nilikuwa 7a na kina jones,job,yusr bkr,sharifa n.k hahahahahaha hapa jf ni kwikwi aseeeeeh ila goma liendelee tu tutakutana strt
Sharifa huyu wa minazini karibu na kwa kina Stella mng'ande
 
Back
Top Bottom