Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Ahahahah group hili la kukutana Mk kila jumapili ila wanaume wengi nimewasahau jaman sijui ndio uzee nilionao
 
Nimepitia comments nyingi zinaonyesha m'nyamala ilikuwa pasua kichwa enzi hizo. Mliokuwepo enzi hizo hebu mtutoe tongotongo je m'nyamala ilikuwa sehemu balaa zaidi kuliko maeneo kama magomeni, keko au ubungo?

Maana nimewahi kusikia maeneo haya (magomeni, keko na ubungo) yalikuwa na balaa nyingi zikifanywa huko.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Umenikumbusha mbali kinoma
We utakuwa umemaliza na kina Ally mtasha...sadat...kizibo
 
Umenikumbusha mbali kinoma
We utakuwa umemaliza na kina Ally mtasha...sadat...kizibo
ha ha ha KIZIBO namkumbuka ila alitupita darasa moja wao walianza kumaliza mwaka mmoja mbele class yetu sisi ilikuwa na kina jafar santo fatum kawale ally loko na kina abd ljoh
 
Pale shule ya msingi kinondoni
Kulikuwa na Walimu wanaitwa
Mwl. Simbani Na Mwl. Shuma..
Ikitokea wametoa adhabu kwa wanafunzi wanaotokea Mitaa ya Msisiri B
Maeneo Ya One Nil Area Nondo na Jerusa.. au Around Mwananyamala Hospitali..
Walimu walikuwa wanabadili njia kurudi makwao..
Shuma alikuwa anakaa Mitaa ya Ujiji
Simbani Tandale
Walikuwa hawakatizi njia ya msisiri B kupitia Kamanyola..
Maana walikuwa wanaogopa kufanyiziwa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…