mshana juzi tulivyokuwa kibaha tulimuongelea huyu hatukujua km kashavuta kumbe
gari yake anaipiga service mwenyewe kaipaki kibaraxani kwake anaipiga jeki na ovaroli anazamchini
ana mikogo balaa
shunie kumbe mtoto wa mwananyama enzi ya NDEKA nakupa list lazima hawa maticha lazima uwafahamu
NDAGO la kwanza darasa lake lipo juu mlango unaangalia unaangalia geti la shure chumba cha kwanza njia ya kwenda assemble upande wa msikitini Huyu ticha kawafundisha wadangaji na wezi wote wa mwananyamala
MWAMBOLA akiwa zamu ukinunua askrimu anakuachia upite ila anagonga fimbo balaa
MANYANGA kazi yake kutongoza wanafunzi
MWANACHIA anapiga balaa
MBOGOLO mguu mbovu huyu ticha hakuna muhuni wa mwananyamala asomjua
getini enzi tunasoma alikuwa mlizi wa kimasai LAZARO mwalimu mkuu mwakatobe
enzi niliosoma MWANANYAMALA B choo kilibomoka tukawa tunarudi saa nne mpk kilipojengwa choo kingine bila kumsahauTicha MALIPURA wa la SABA kujinadi anao mtihani na majibu ya mtihani wa la saba taifa
vipi la saba la Ticha MADANDI ulikuwepo mkali wa MATH kipindi hicho tunapiga tuiton kwa Ticha maiko Ujiji Tumegawanywa kwa DALASA la A ndo wenye AKILI ukiwa F au E we kilaza wa kutupwa
itakuwa umekula sana miogo ya MZEE MSIBA na ndizi za MAMA ABDALAH canteen pale ha ha ha [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]