Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Dogo bwege tu yule manyaunyau [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] GOGO limeoza kamanda sasa GOGO lingekuwa dushe lingeoza kwel? alitibua wahuni tu siku zile [emoji23] [emoji23] maana wahuni wote wangekuwa wajawazito
 
Hivi alikua na lafudhi ya kikenya kweli mida yake ilikua kuanzia sa 9
Basi ntakuwa nimemfananisha na ticha José mmoja hivi alikuwa Mrefu , with Mongolian head anakunywa pombe za kuenyeji au viroba huwa anafundishaga English
 
Subiri unakuja wa combine ya Migo Tandale Manzese na Mburahati mpaka Kigogo
Kuna wale akina Arnold , Dame , etc Aisee.
Kuna siku matumla mkubwa amekuwa polisi Wa defenda aliingia chaka bovu Tandale kumkamata mtu mmoja hivi. Akawakuta watu hawana habari nae. Utaratibu ukivamia maskani ambayo waharifu ni wengi kuliko nyinyi inabidi useme unamtka nani.
Matumla akamtaja kwa jina jamaa. Wakamuuliza unamjua ! Akasema ndiyo. Unamuweza akasema ndiyo. Wakamwambia mchukue. Hapo sasa zilitembea kavukavu...Matumla akapigwa akaaga akamuacha jamaa. Ila alivyorudi siku nyingine akamtolea bomba akamchumkua.

Hiyo mitaa inastory za uharifu unaweza usiamini.
 
Dogo bwege tu yule manyaunyau [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] GOGO limeoza kamanda sasa GOGO lingekuwa dushe lingeoza kwel? alitibua wahuni tu siku zile [emoji23] [emoji23] maana wahuni wote wangekuwa wajawazito
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
Usimalize utamu
 
Mimi huyu mshana jr nashindwaga kumuelewa....huwa najiuliza ni kitengo aliyetumwa kuja na mbinu ya uchawi au in mtu wa aina gani.........karibia kila uzi anaoleta lazima uwe na uchawi ndani take.
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Duh hii ilikuwa noma mkuu ikawaje tena
 
Alikuwa analialia tu nipelekeni polis nipelekeni polis eti tumpeleke polis tena anatuambia kabisa nimewaiba mjini nipelekeni kituo cha kati pale..."tukamwambia samilo wale polis wameajiriwa tu ila sisi tumezaliwa tukiwa mapolis"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dogo bwege tu yule manyaunyau [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] GOGO limeoza kamanda sasa GOGO lingekuwa dushe lingeoza kwel? alitibua wahuni tu siku zile [emoji23] [emoji23] maana wahuni wote wangekuwa wajawazito
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Afu na mwananyamala si alikuepo Damme ila naona sa hiv katulia alikua jela
 
Usimalize utamu
Mkuu nimefurahi sana na huu uzi mana umenikumbusha mbali niliwahi kukaa mwananyamala miaka ya 2002 mitaa ya nyuma ya guest ya kamanyola. Lakin kuna baadhi ya vituko nilikua sijui aisee labda kwa kuwa nilikuwa mtu wa kuja kulala asubuhi naondoka mpaka tena usiku usiache kuni tag ukileta uzi mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…