INGENJA
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 4,990
- 4,259
M
Misemo yetu waswahiliHujafa hujaumbika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Misemo yetu waswahiliHujafa hujaumbika
Mmh hili ngoja nitaenda huko weekend hiimshana jr ebu nifafanulie mtaa wa Pamba Street pale Mwananyamala A, una kasoro gani? Nasikia ale kuna Mze mmoja hivi alikuwa mchawi kishenzi na alikuwa anafanya kazi bandarini. Huko bandarini watu wakimuudhi tu hupotea majini na pale mtaani kwao watu walikuwa hawakanyagi. Una ufahamu wowote juu ya huu mtaa? Mimi nilkuwa natokaga na demu fulani toka pale na ndipo nilipokuwa nasikiaga hizi story za kutisha ila huyo mze mwenyewe sijawahi kumuona.
Sisimko ya Yule mzee wa kichaga Mchafu na mandevu?Sisimko guest je!? Blue? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] bila kusahau sisimizi
Umeharibu kinondoni hiyoUmeisahau na PR camp ya Mzee Tairo na Mango Garden.
Tushaenda kucheza mikoroshini chini pale na American embassy, sijui ilitokea nini nikaacha jino, mimi nacheka tuukumbukumbu yangu ya nyamala ni ule uwanja wa B...yani lolote linaweza kutokea kabla,katikati na baada ya mechi
wahuni wanavuta bangi mbele ya askari
enzi hizo gemu za ndondo watu wanakuwa na majeshi mastaa,akina lunyamila,mohamed hussein mmachinga,said msasu(huyu alitokea timu ya kitaa chetu hadi akaenda simba)
tulikuwa tunatembea kwa mguu tokea mwembechai,tunadondokea tandale kwa tumbo flani,tunavuka kimto cha kizushi(daraja mti mmoja mwembamba,usipokuwa good balancer unadondokea majini ukitoka kambale wamekudandia nguoni)
kwa ufupi mwananyamala ni nyoko..my favorite spot ni masai these days....nyapu nje nje
Walikuwa na sehemu yak hapo wanafanya birthday parties, ukipiga deo unashangaa wanaume wana shanga kiunoniHuyo shoga mpaka huku minazini njia ya kwenda sokoni karibu na kwa kina sharifa hivii nyumba ya kwanza kushoto alikua anakaaa hapo kulikua kuna mashoga wengi tukipita toka shule tunawashangaa wanavyokaa kibarazani vipiii unamkumbuka jack amabae sasa hivi ni shoga maarufu
Mbona mechi za tandale huzikumbuki na ngumi zakeUkiwa umekulia dar watu Wa Mwananyamala lazima ukutane nao ktk mpira ndondo au ligi za mchangani , beach club au shuleni lazima waraouathiri tuu au utapata story zao au kuzushuhudia
Ni mm mkuu[emoji23] [emoji23]Basi ntakuwa nimemfananisha na ticha José mmoja hivi alikuwa Mrefu , with Mongolian head anakunywa pombe za kuenyeji au viroba huwa anafundishaga English
same same me!Daahh nshalishwa nyama ya mbwa mwananyamala nikijua mbuzi
mkuu nimeongelea kwa ujumla sana mimi kwetu luhanga , Kigogo na Mburahati. Sijakaa mwananyamala nilikuwa mpitaji tuu na ni bado mpitaji. story nyingi za watu wa huko utazipata au utashuhdia ktk mechi zao na hapo ni mpaka timu yetu ikutane na za huko ktk ligi amabazo mara nyingi makurumla na kinesi.Mbona mechi za tandale huzikumbuki na ngumi zake
unanikumbusha mbali ujue..Mwananyama kwa utemi sasa kila kona kuna Gym, kuanzia vijana, komakoma, A, kisiwani kwa kidile...mirembe gym(hapa kuna gudu, dole) kwa mwalami gym( salum kiwiku) one nil gym( obede ngumu jiwe) bwawani huku kwa stevn nyerere (manchester gym shafii mashetani, albeto)...utemi utemi tu ktk mechi za mchangani LIGI ZA MBUZI game inapigwa pekupeku hio na wanaocheza ni baba flani watu wazima kabisa ndio alipotokea KANIKI huwa game aimaliziki lazima kiwake tu
duh...poleTushaenda kucheza mikoroshini chini pale na American embassy, sijui ilitokea nini nikaacha jino, mimi nacheka tuu
Mpaka wa mwananyamala na kinondoni ni wapi?? Kuna mtu humu kasema ni barabara ya kawawa.. kwahio nimemfuata huyo boss.Umeharibu kinondoni hiyo
Mnamkumbuka side mnyamwezi, alimvutisha bangi Amini, Amini akajinyea