Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Whaaatttt!!!!!!! Mashaga namkumbuka tulikuwa tunaishi mtaa mmoja. Ngoja nikuelekeze kwetu halafu nijue kama utanikumbuka. Nyumba yetu inatizamana na mgahawa wa chiku kambi. Kuna geti jeusi na kuna miti ya miashoki kama 6 hivi ipo kwenye kona ya kwenda kituo cha polisi upande wa kushoto. Kwetu tulikuwa tunauza askirim

Classic
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mashaga kawa mbaba ameoa eti nipo naye huku mitaa ya kati tumekutana tena me kumjua mashaga best friend wake yohana joshua tulisoma wote B na yohana anaishi mitaa ya kule kule kwenu kwa mbele
 
Kubabake walay... Mnanipa raha mshana jr , Shunie , Mjushi
Endeeleni kutiririka mazee, mie nimeishi hapo mitaa ya kwa Salama Chaurembo karibu na uwanja wa Mw'nyamala B.
Nimewatomba sana mabinti wa maza house mpaka nikapewa Notice na mjomba wao ndio nikahama.

Kwakweli kitu nachomiss Mw'mala ni "Cheap Life".
Huduma za kijamii ziko chini na zinapatikana kwa urahisi.
Hospitali na dispensary zipo jirani, Soko la Magengeni jirani, Usafiri Daladala za kumwaga.
Misikiti sasa (mnajua mie ni Muislamu) ukikata kona msikiti huu hapa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
HII NDIO MENU YA KINYOZI DILUNGA CHINI YA MWEMBE DSSD NILIYOWA AHIDI KUWALETEA.
 

Attachments

  • IMG_20180127_161742.jpg
    IMG_20180127_161742.jpg
    151 KB · Views: 153
  • IMG_20180126_173904.jpg
    IMG_20180126_173904.jpg
    230.5 KB · Views: 140
HII NDIO MENU YA KINYOZI DILUNGA CHINI YA MWEMBE DSSD NILIYOWA AHIDI KUWALETEA.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Nimesoma almost kila comments nimecheka sana na nimekumbuka mengi,nimeishi Mnyamala long ago, darasa la kwanza nimeanza Mnyamala B primary ila memory haipo kwa sana what only nakumbuka tulivyokuwa tunachanja mitaa matumbo wazi tukienda Dampo Tabata au Mikocheni beach kwa miguu kutokea mitaa ya Mama Zakaria!nakumbuka ngoma za madogori na process za kuwatoa watu uchawi pia mdundiko kila siku Nakumbuka nyumba tuliyoishi 80s nakumbuka hotel moja maarufu ilikuwa yaitwa Motel Villa kipindi hicho weekend ilikuwa ni disco hakuna siku disco lilipita bila ugomvi, nakumbuka ilitubidi tuhame baada ya wazazi wangu kugungua tulikuwa tunarogwa /tunawangiwa tukqhamia Sinza,wazazi wangu wana miliki nyumba mitaa ya bondeni nyuma kwa mama Zakaria,uwa nikipataga nafasi naenda mara moja moja kuangalia panaendeleaje ingawa ni almost gofu na hakuna mtu kati yetu mwenye interest napo kwa ajili ya vituko vya maeneo hayo including uchawi.
Huwa najaribu kui locate baa moja ilikuwa yaitwa Matimila nafikiri Remy alikuwa anafanyia mazoezi sipapati napenda nipafahamu nakumbuka nilikuwa natoroka shule naenda kuchungulia hayo mazoezi Mshana utanisaidia maana wewe ni mwenyeji kiasi.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
 
Pia usisahau Mwananyamala ndio sehemu pekee unaweza ukapata Wali Maharagwe kwa tsh 300 na ukashiba kabisa!
Hahahahahaha nakumbuka wali wa Mia 200 Kwa mama ngumu alikuwa anaishi kisiwani karibu na bonde la lasko
 
Ukitaka roba za maana Njoo mwananyamala kisiwani......

Ova
Wezi wote wakubwa kina scadi, dame nakundi Lao lote walikuwa maskani Yao kubwa vijana sasa hivi maarufu kama Kwa manjunju mbuyuni
 
Back
Top Bottom