Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiyo herbal medicine wa Kwanza kufanya matangazo yaliyovuma Kwa Sana TanzaniaHata Dr Matunge wa Matunge herbalist clinic alikuwa Mwananyamala si mbali sana na Mwananyamala hospital
Nakumbuka tulikuwa tunaenda kufturu taqwa kwenye futari ya bureKuna kipindi cha mfungo wa Ramadhani pale Kulesi(Bakule) wakaweka tangazo la taarab kiingilio kinywaji tu sasa kwenye lile bango wakaandika "kwa ndg zetu waliofunga daku pia inapatikana" dah kwenye swala ya saa mbili pale mtambani kuna jamaa akawatangazia waumini,kama unavyojua pale makareteka kibao na ukizingatia mwenye bar aliyeandika tangazo mgalatia! Waliingia pale bar zilitembezwa bakora na karate kwa kila waliyemkuta,mwenye bar alijificha wangemkamata wangeua
Imebadilika Sana mkuuMwananyamala ni katika miji ambayo haibadiliki ipo vilevile miaka nenda rudi.
Sijakuelewa hapo kiongozi naomba ufafanuziChimbo za ray C, wazee wa mitungo
Hahaha utani huo sasa hahaha, hata mie nilitegemea kitu kama hicho. Ila kwenye wengi pana mengi sana mkuuUzi wa mshana usingekamilika bila namba 7
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namjua sana huyo mkuu DUDU nasikia ni mwalimu eti siku hizi nimesoma nae kinondoni muslim class mmoja...Wakuu nani anamjua jafary mamba a.k.a DUDU kwao kulikuwa pale uwanja wa B shule msingi nyumba za nyuma pale baba yao alikuwa anauza kobe, nyoka, vinyonga, kenge kwa wachina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe Salum dah ndio huyo huyo jamaa wew unamjua vizuri icho kigeto kilikuwa mitaa gani mzeee dah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] namjua sana huyo mkuu DUDU nasikia ni mwalimu eti siku hizi nimesoma nae kinondoni muslim class mmoja...
vituko vyake ni balaa sana mshikaji wake mkubwa alikuwa gwamaka huyo gwamaka alikuwa denti pale Jitegemee kuna kipindi alidata huyu Gwamaka wakasema bangi....
DUDU sijui yupo wapi siku hizi?? ila nasikia mkoani
**** kuna siku DUDU aliopoa demu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] AKAMGEGEDA kisawa sawa kumbe yule dada alikuwa na njaa ajakula kitu sijui ata waliokotana wapi dada alikuwa mkubwa tu km 25years amemkuta DUDU ameshapiga mabangi yake dada wa watu alipelekewa show ya kibabe mpaka alizimia kabisa.
DUDU alichanganyikiwa sana alitufata maskani mbio sana "jamanii twendeni huku nimeuwa" tukatoka mbio mpaka eneo la tukio ni kageto kachafuu joto balaa giza hatari huwezi kumuona wa ndani ni giza room aina umeme wa mshuma..room inanuka mavi matupu DUDU alikula vyote kwa yule mdada mpaka dada kazimia tunamuliza ulimpa chakula anaseme "nilimnunulia mihogo ya mia mbili alikunywa maji (geto humo kuna na kakikombe cha bati na ndoo ya maji)
So ulikula ngeta? Mitaa gani?Nilikuwa na mchumba mmoja anaishi huko Mwananyamala. Huyu mchumba alikuwa wa kisure fulani hivi sema ndio wazazi walijenga huko kitambo. Ila alikuwa na tabia za kihuko huko.
Sitasahau kumlia mingo kumbe na mimi wazee wa roba za mbao wananilia timing.
Ila mchumba alikuwa mtata sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mario ni vijana wa kiume wanaolelewa na mashuga mummyMario ndiyo mtu mwenye tabia gani kiongozi? Halafu umenikumbusha habari ya hapo mtaa wa karago na wibu, niliishi hapo baada ya kuoa tu bwana Mshana jr.
Ili nipate wepesi wa kwenda kazini kwangu, lakini! Niliacha kodi yangu vyumba viwili ya miezi 3.5. Pale ni laana tupu!! Nimejirudia zangu kimara nilipokulia aisee.
Asante mzee Mshana kwa kunijuza, pia naonaga majina kama benten, na hii sijui maana yake ni nini? Nashukuru sana mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mario ni vijana wa kiume wanaolelewa na mashuga mummy
nyumba yake ipo barabarani karibu na mochwari ya Mwananyamala HospitalKombe la Dunia Mwaka 199O
Mwananyamala nzima..
TV tulikuwa tunaangalia kwa Mzee Tabu Jumanne Mangala..
alikuwa Mkuu wa Jeshi la Magereza...
Lazima Uoge ndo uingie ukacheki Game ndani
Tena TV ilikuwa inawekwa nje uani.....
[emoji23] [emoji23] [emoji119]Usimchokoze hiyo ni kamusi ya matusi ndugu yangu