Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wadudu bado wapo. Kwasasa bao ni bei gani ?Kuna biashara inaendelea pale Minazini kuna nyumba imejengwa km madarasa ya shule (jina maarufu kwa wahaya).
Kipindi kile bao moja ilikuwa 1500, kulala 5000 mda wa biashara ni saa 7 mchana mpaka midnite. Vile vyumba vina milango miwili yanii unaingia mbele unatokea nyuma..
Wanaojiuza unawakuta wamekaa mlangoni pale chini mteja akija hakuna ata salamu ni speed tu ndani, kuna wamasai pale wao ni km walinzi wa ile biashara ukizingua kulipa wanakupa kichapo. Wateja wengine walikuwa wanakwenda kutolewa ndani ya room unakuta mteja amelipa 1500 ya mwendo mmoja yeye anaunganisha basi anaitwa mmasai fasta na bakora zake....
Pia hawa wamasai unakuta analipwa elfu 60 kwa mwezi ila mwisho wa mwezi anaambulia elfu 8 au 10 nyingne zote anakuwa anapewa huduma sana sana za buku 5 zile za kulala usk...HAPO ni MINAZINI.
ndio, wajua mie wa kwa mtogole, kipindi kile mtogole kweli....Pale kwa waha.....!?
Ukiwa na mke au watoto. Sehemu hizi sio nzuri kuishi nayo:-
Mwananyamala
Magomeni
Keko
Buguruni
Ilala
Vingunguti
Bonde la msimbazi
Msasani bonde la mpunga
Iyo mieneo mtoto kudata ni kitu cha Kawaida sana
Keko kuna balaa toka enzi na enzi mpaka kesho ,keko usiende kuishi kila aina ya usela uko huko ,mchana kweupe unakabwa na watu wanaendelea na shughuli zao ,kijana wa miaka 16 anakushikia panga mchana,keko pasua kichwa watoto na watu wa huko wameshindikana ....keko kuna story tamu hope Uzi wake utafunguliwa
Magomeni pako poa sio kihivyo ,magomeni kagera mpaka Argentina hupenda sana michezo ya ngumi na vijana wengi wameingia huko ndio kwakina Thomas mashali huko kila mtu anajifanyia bondia
Mwembechai,mikumi,mapipa palikuwa hot lkn sio kama keko,mwananyamala,kigogo nk ..binafsi ni mzoefu wa magomeni mapipa mitaa ya suna huku ukitaka druglords ,watengeneza hela feki utawapata ,matapeli ,watoto wa mjini utawapata mpaka watoto waliosumbua miaka ya 2014,2015 kwa jina la panya road utawapata wakazi wa kinondoni wanawafahamu sana hawa
Ila kigogo,keko,Tandale ndio yanashabihiana na mwananyamala ..magomeni utundu upo ila maisha ya huku yapo medium kati kwa kati ndio maana kuna utofauti na mitaa tajwa hapo juu hivyo usela sio sana kama huko ila pachangamfu
MmhDuuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Nasubiria uzi wa Tandale na Mabibo .
Huwaga nakutana nao sana masela wa mabibo hapa uwanja kinesi kwenye mechi za ligi daraja la pili. Wana stori nyingi sana za uswahilini.
Hahaaa...pole. Unanikumbusha kisa kimoja tungali tunaingia ujanani. Mshkaji wetu mmoja ilibidi atoke Mburahati aende akaishi masaki kwa ndugu zake kwa muda. Sasa inshu ilikuwa ktk msosi yaani walishazoea kuwa chakula lazima kibaki cha na mara nyingi akina dada ndo huwa wanajua kuwa kuna msosi wananywea chai. Sasa baada ya kuingia kamanda hali ikabadilika. Kwanza msela baada ya kuona aibu kujisevia msosi mwingi mbele ya watu mezani akawa anakuwa was mwisho kula. Baada ya utafiti wa muda mfupi tuu msela akajulikana ikabidi wshauriane kuongeza kipimo wapate kiporo cha chai maana jamaa alikuwa anawapeleka dryMkuu,
Hii topic nimeikubali sana. Watu wa Mwananyamala wametupa fundisho. Niko page ya 59 ya thread hii na nitahakikisha nafika hadi mwisho.
Kama Mwananyamala iko sawa na KIGOGO, TANDALE, KEKO, MBURAHATI basi watu tuliokulia mitaa mingine hapa nchini tunatakiwa pia kuanzisha thread zetu ili tujue phsychology yetuimeundwaje.
Mimi nimekulia mitaa mnayoita uzunguni. Wajomba zangu mmoja amekaa MWANANYAMALA KISIWANI kuanzia 1976 hadi 1994. Mwingine kakaa MAGOMENI karibu na DDC MAGOMENI pale shuleni kuanzia mwaka 1975 hadi 1988.
Nimetoka Chuo Kikuu wameshahama na wana familia zao, wameshahamiz Sinza, tena yule wa MWANANYAMALA ana mabinti watupu. Nimeanza maisha kwa mwaka mzima nikaishi kwa mmoja wa hao wajomba na hivi wako karibu kama mita 50 hivi nikawa yaani naishi nao wote.
Amini usiamini, haikupita hata miezi sita tayari nikawa nimeingia mgogoro ambao umedumu hadi leo, na hii ni kutokana na tabia za mabinti za mjomba yule wa MWANANYAMALA. Baadaye haikupita miaka miezi 15 nikaingia mgogoro na yule mjomba aliyehama MAGOMENI.
Ilibidi nihame mapema kuanza maisha yangu maana sikuwez kabisa tabia zao. Kwanza ni watu ambao wanaona ugomvi ni kitu cha kawaida, wakati maeneo niliyokulia kugombana ilikuwa ni kituko.
Kutukana matusi ya nguoni hawaoni shida, wakati nilipokulia ukitukana mtaa mzima unakujia juu.
Sasa tuna miaka 18 tangu tumetengana na wale wajomba kwa ugomvi ule maana. Inavyoelekea hadi vofo vyetu hatutakuja kurudiana, ugomvi ulikuwa mkubwa.
Jambo ambalo sikulitafakari wakati ule ndilo ninaloliona humu kwenye uzi huu. Kumbe pamoja na kwamba walikuwa ni wajomba zangu ukweli ni kwamba mimi na wao tulikuwa ni watu wawili tofauti tusiofanana.
Kwamba kama umekulia MIKOCHENI halafu mtu amekulia MWANANYAMALA basi hawa ni watu wasiofanana.
Tabia mnazosema humu ndizo typical za wale watoto wa wajomba wale.
Hivyo, kila ninapopata muda kutafakari historia yangu na ugomvi ule ninaona kwamba haikuwa busara kuanza maisha na wale wajomba ilhali mimi na wao tumekulia maeneo tofauti.
Hii nimekuja kuona mnapoyajadili haya.
Cc:
mshana jr
Hahaaa...pole. Unanikumbusha kisa kimoja tungali tunaingia ujanani. Mshkaji wetu mmoja ilibidi atoke Mburahati aende akaishi masaki kwa ndugu zake kwa muda. Sasa inshu ilikuwa ktk msosi yaani walishazoea kuwa chakula lazima kibaki cha na mara nyingi akina dada ndo huwa wanajua kuwa kuna msosi wananywea chai. Sasa baada ya kuingia kamanda hali ikabadilika. Kwanza msela baada ya kuona aibu kujisevia msosi mwingi mbele ya watu mezani akawa anakuwa wa mwisho kula. Baada ya utafiti wa muda mfupi tuu msela akajulikana ikabidi wshauriane kuongeza kipimo wapate kiporo cha chai maana jamaa alikuwa anawapeleka dry
Hahaaa...pole. Unanikumbusha kisa kimoja tungali tunaingia ujanani. Mshkaji wetu mmoja ilibidi atoke Mburahati aende akaishi masaki kwa ndugu zake kwa muda. Sasa inshu ilikuwa ktk msosi yaani walishazoea kuwa chakula lazima kibaki cha na mara nyingi akina dada ndo huwa wanajua kuwa kuna msosi wananywea chai. Sasa baada ya kuingia kamanda hali ikabadilika. Kwanza msela baada ya kuona aibu kujisevia msosi mwingi mbele ya watu mezani akawa anakuwa was mwisho kula. Baada ya utafiti wa muda mfupi tuu msela akajulikana ikabidi wshauriane kuongeza kipimo wapate kiporo cha chai maana jamaa alikuwa anawapeleka dry
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hivi si ndiyo huko kuna mkandarasi mmoja alijifungia chooni na mfanyakazi wa ujenzi wa barabara, alipobainika na kuulizwa kwanini alijifungia chooni, akasema alimwomba akamfanyie shaving!!!