Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
Ikawaje Mkuu baada ya kukufata kituon[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
FARU ya manzeseBEACH BOY ya ferry NATIONAL ya tandale hizo timu zikija kucheza na SWAZI lazima watu kbla mpira hujaisha tutokee kwenye mabati

Mkuu hapo umetaja National ya tandale umenikumbusha chama langu kuna beki yetu mmoja alikuwa akiitwa Hanzuruni alikuwa anatumia sana akili huyu mtu..
Katikati ya dimba kuna mtu mmoja alikuwa akiitwa COSTI alishawaji chezea mpaka Yanga..

Those days tulikuwa tukija kucheza mechi mwananyamala lazima kinuke..
 
Ngono inafanywa mchana kweupe maeneo ya uwanja wa fisi, madada poa wanavyumba vyao special kwa huduma hiyo..Wanatoa huduma zote muhimu kwanza condom unapewa bure ukimaliza shughuli unasafishwa vizuri na tissue paper kwa gharama ndogo tu ya kuanzia elfu 2 kwa bao moja., ila kwa usawa huu mgumu wa maisha lazima bei ishuke..
Bado mpaka siku hizi
 
Sasa nimeelewa kwa nini Chadema waliamua kuweka makao makuu ya Chadema mwananyamala ni chama cha wahuni ofisi zao ziko kwa wahuni wa kila namna na ofisi yenyewe kuanzia muonekano ni ya kihuni
Head Quarter ya Chadema ipo Mwananyamala?
 
Wapi DJ Manga P?Alikuwa anatuburudisha pale Masai kipindi hiko Hakuna Club bali kuna vyumba vya kulala wageni na Bar halafu Manga P anakuja kila Alhamisi au Ijumaa kutuburudisha na oldies za 80s. Hii ndio ilianza kuvutia wateja hadi Club ikaanzishwa.

Kipindi hiko hapo opposite kuna kibanda choka mbaya ila kina michipsi na mishikaki mitamu na bei ya kutupa ukichanganya na miguu ya kuku.
Huyu na mdogowe tutu wrote wamevuta,maza yao mchawi kama usiku
 
Nakumbuka kuna siku tulipotea njia na jamaa yangu mitaa ya mwananyamala ujiji sasa tukapita kichochoro kimoja tukakuta masela wanacheza kamari na panga mfukoni
Tulitimua mbio hadi tukajua njia ya kutokea
 
Back
Top Bottom