Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Mshana,pale mwananyamala msisiri mtaa wa igumila kuna mshkaji mmoja anawaendesha sana wahuni unampata au umewahi sikia habari zake
 
Nani huyo? Kama ni wa sasa siwezi kumjua... Nimekimbia mji niko pwani naganga ndumba
 
Blaza mshana unapajua kwa Mzee Mzange pale karibu na ilipokua dispensary ya Masana. Nyuma ya ofisi za chadema jimbo la Kinondoni. Jirani kabisa na Sunrise bar.
Unamjua???
Dah kweli wewe wa mitaa hiyo.. Ndipo marehemu Masana alipoanzia mishe zake.. Sunrise pia naijua.. Huyo mzee inawezekana pia namjua
 
Ktk uzi huu na ule mwingine wa vituko vya dar sijaiona story za mbabe wa Kimara aliitwa kundinga... huyo jamaa sasa ni chizi wa kuokota makopo Bado yupo hai.
Jamaa.... Kwanza ugomvi wake hauishi mnaweza pigana kila mkikutana kwa miezi hata miwili mpaka hamu yake iishe....kuna siku alipigana na jamaa mmoja wakajeruhiiana sasa bahati mbaya kundinga ajamkuta jamaa anatoka hospital na bandeji usoni...jamaa kumbe alikuwa na nyembe mpya akamkamata yule jamaa akamchanja chanja na nyembe jamaa ikabidi arudi tena hospital.
Kwa kifupi jamaa alikuwa ndo mbabe wa Kimara enzi hizo kwa mujibu wa maelezo.
Watu wakamchoka na serikali pia ikamchoka...kuna askari wakawa wanamtafuta kimya kimya....siku wakamkuta kimara mwisho kwa maelezo ya mtoa habari alishuka askari chiba ktk teksi kavaa kiraia, akamwambia aingie ktk ile teksi kundinga akataka kukataaa na kuanzisha utata alipigwa teke moja tuu na yule askari chiba nwenyewe akaingia ktk ile gari. Hakuonekana tena...mpaka aliporudi akiwa chizi wa kuokota makopo. Mwenye story zake ashee hapa....
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji85]
 
Ndio mji na sehemu pekee Tanzania iliyokuwa mjini tokea kitambo toka 1940 uko mwananyamala ni town kumechangamka watu kibao mpaka leo mwananyamala town,town kitambo since way way back...
 
[emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
[emoji23][emoji23]ila bwana mwananyamala, Kinondoni pamoja na magomeni haya maeneo sijui nayaonaje hata nikisikia mtu kapata dem anakaa hayo maeneo naona ndo walewale tu
 
Back
Top Bottom