Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

[emoji23][emoji23]ila bwana mwananyamala, Kinondoni pamoja na magomeni haya maeneo sijui nayaonaje hata nikisikia mtu kapata dem anakaa hayo maeneo naona ndo walewale tu
Sasa hivi huku wanakaa wastaraabu
 
Vibaka wote tulimaliza
Hawakuisha wote hata wale maarufu waliuliwa tu baadhi kama kina skadi dame dotto kishara na wengine ila wengi walizamia south na kuhama makazi wapo mbagara chamanzi chanika bagamoyo kibaha na maeneo mengine
 
Kumbwiga,Jumanne, Morocco , Tito naaamini huko kuzimu hawajanisahau
 
Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
[emoji13]

Salalee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…