duh kwahiyo mwna huna marindaManyau nyau alikuja kuondoa uchawi kufika pale Ubaa Corner (Baa ipo Makaburini) akasema mbele anaona bahari tu hawezi kusogea mbele akarudi kwao, akakaa akaja tena, akafika sehemu ni maskani kuna gogo limewekwa hua tunakaa kupiga stori.
Akatoa jidude fulani hivi akasema huu ni ub00 kila aliyekaa hapa alikua anafir.wa ndiyo maana mtu akikaa hapa kuondoka hua hataki.
Yaani alichomaanisha ni kua vijana wote wa pande zile marinda yaliliwa na wachawi
Makao makuu yapo kinondoni kaka ulizia uambiwe mtaa wa ufipaSasa nimeelewa kwa nini Chadema waliamua kuweka makao makuu ya Chadema mwananyamala ni chama cha wahuni ofisi zao ziko kwa wahuni wa kila namna na ofisi yenyewe kuanzia muonekano ni ya kihuni
Mtaa wa ufipa uko ndani ya eneo la mwananyamala.Ni mmojawapo wa mitaaa ya mwananyamalaMakao makuu yapo kinondoni kaka ulizia uambiwe mtaa wa ufipa
mwananyamala inaishia barabarani ukishavuka tu ile barabara ni kata ya kinondoni AMtaa wa ufipa uko ndani ya eneo la mwananyamala.Ni mmojawapo wa mitaaa ya mwananyamala
Kumbwiga na Morocco waliniibia hapa Msisiri B. Walikuwa jirani zangu!Kumbwiga,Jumanne, Morocco , Tito naaamini huko kuzimu hawajanisahau
Najua. Morocco aliuawa mchana wa saa 6, nyumbani kwao mbele ya Ndugu zake.Wako mahali pema jehanum
Dah.... Nilishampiga komando mmoja wa jeshi letu....kojo lilimtoka [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Itajulikana tu[emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji35][emoji34][emoji83][emoji84][emoji88][emoji879]
Thanks Mkuu mana umenifanya nismile kaka.Nakumbuka kuna siku tulipotea njia na jamaa yangu mitaa ya mwananyamala ujiji sasa tukapita kichochoro kimoja tukakuta masela wanacheza kamari na panga mfukoni
Tulitimua mbio hadi tukajua njia ya kutokea
Kumbwiga alipiga kwangu, mchoro alimchorea pembe , baada ya kupiga vitu kibao sitting room jikoni na baluni langu akakimbilia Tegeta, ilikuwa jumatatu asubuhi ....nikajiapiza kuwa huyu ijumaa tunazika....watu wakaona mikwaraNajua. Morocco aliuawa mchana wa saa 6, nyumbani kwao mbele ya Ndugu zake.
Na Kumbwiga alimalizwa Jangwani kwenye Mashamba ya mboga mboga.
na ni ya kitambo, tangu miaka ya 1997 niliikuta,Kwenye makutano ya akachube road na barabara ya kuelekea stendi makumbusho kuna nyumba ya jw.
Huwa sielewagi kwa nini ile nyumba iliwekwa pale