Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Kuna yule jamaa mwizi wa umeme pale A alifungua kabisa na kituo cha kuuzia token za luku... Yaani biashara haramu aliihalalisha kabisa... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]shikamoo Mwananyamala
Vishoka wote headquarters ni Mwananyamala
 
Kama kawa na siku anakamatwa wala hakuwa na wasiwasi akasema eti alikuwa kwenye mchakato wa kuwasiliana na Tanesco ili awe wakala kamili
Ahhha na kuna jamaa aliwahi kukamatwa sema location sikumbuki vzur,yeye alikuwa anakuunganisha dstv,azam ,startmies,nk kwa Pamoja nadhani alkuwa anachaji bk 5 pekee
 
Ahhha na kuna jamaa aliwahi kukamatwa sema location sikumbuki vzur,yeye alikuwa anakuunganisha dstv,azam ,startmies,nk kwa Pamoja nadhani alkuwa anachaji bk 5 pekee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pale mahali basi tu.. Mwananyamala pia walikuwepo wengi tuu na wa kupigisha simu nje ya nchi.. Ticket za ndege nk.. Yani inasoma kabisa... Unasafiri kwenda china na kurudi kwa laki 7 tuu
 
Nakumbuka timu yetu ya nondo ilikua inasifika kwa vurugu kuliko mpira,walikua wanamabaunsa wengi kuliko wachezaji mpaka kuna mwaka waliua shabiki maeneo ya manzese ikawa soo mpaka timu yenyewe ikajifia ikabakia jina tu
Kulikuwa na baunsa anaitwa Kibesi na mwengine Kiwiko.
Vurugu zikianza wanafunga geti la uwanja wa mwananyamala B
 
Mwanzoni nilianza kusoma huu Uzi bila kuangalia mwandishi ni nani sasa nilipofika namba 7 ....duu nikasikia harufu ya mzee baba....ikabidi nimtafute mwandishi ile kurudi juu...Mara mzee baba huyu hapa...hiyo mamba 7 hebu tuambie waganga maarufu kwa kutoa kinga za mwili aliyeko maeneo haya.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tembelea kwa mama Zakaria
 
Back
Top Bottom