Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lazima nilete marejesho hapahapa mkuuMarejesho mkuu
Dah huyo alitisha,kwa hiyo ukiweka kwenye mita inasoma?Kuna yule jamaa mwizi wa umeme pale A alifungua kabisa na kituo cha kuuzia token za luku... Yaani biashara haramu aliihalalisha kabisa... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]shikamoo Mwananyamala
Vishoka wote headquarters ni Mwananyamala
Mwananyamala maana yake ni mwana nyamaza au mtoto nyamazaNajaribu kuwaza maana halisi ya jina Mwananyamala, nabaki nacheka tu
Mkuu hii kali ya karneNa buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
Ahhha na kuna jamaa aliwahi kukamatwa sema location sikumbuki vzur,yeye alikuwa anakuunganisha dstv,azam ,startmies,nk kwa Pamoja nadhani alkuwa anachaji bk 5 pekeeKama kawa na siku anakamatwa wala hakuwa na wasiwasi akasema eti alikuwa kwenye mchakato wa kuwasiliana na Tanesco ili awe wakala kamili
Mtoto Nyamaza.Najaribu kuwaza maana halisi ya jina Mwananyamala, nabaki nacheka tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pale mahali basi tu.. Mwananyamala pia walikuwepo wengi tuu na wa kupigisha simu nje ya nchi.. Ticket za ndege nk.. Yani inasoma kabisa... Unasafiri kwenda china na kurudi kwa laki 7 tuuAhhha na kuna jamaa aliwahi kukamatwa sema location sikumbuki vzur,yeye alikuwa anakuunganisha dstv,azam ,startmies,nk kwa Pamoja nadhani alkuwa anachaji bk 5 pekee
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mtoto Nyamaza.
Kulikuwa na baunsa anaitwa Kibesi na mwengine Kiwiko.Nakumbuka timu yetu ya nondo ilikua inasifika kwa vurugu kuliko mpira,walikua wanamabaunsa wengi kuliko wachezaji mpaka kuna mwaka waliua shabiki maeneo ya manzese ikawa soo mpaka timu yenyewe ikajifia ikabakia jina tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tembelea kwa mama ZakariaMwanzoni nilianza kusoma huu Uzi bila kuangalia mwandishi ni nani sasa nilipofika namba 7 ....duu nikasikia harufu ya mzee baba....ikabidi nimtafute mwandishi ile kurudi juu...Mara mzee baba huyu hapa...hiyo mamba 7 hebu tuambie waganga maarufu kwa kutoa kinga za mwili aliyeko maeneo haya.