Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Kuna biashara inaendelea pale minazini kuna nyumba imejengwa km madarasa ya shule (jina maarufu kwa wahaya) kipindi kile bao moja ilikuwa 1500, kulala 5000 mda wa biashara ni saa 7 mchana mpaka midnite vile vyumba vina milango miwili yanii unaingia mbele unatokea nyuma..wanaojiuza unawakuta wamekaa mlangoni pale chini mteja akija hakuna ata salamu ni speed tu ndani, kuna wamasai pale wao ni km walinzi wa ile biashara ukizingua kulipa wanakupa kichapo wateja wengine walikuwa wanakwenda kutolewa ndani ya room unakuta mteja amelipa 1500 ya mwendo mmoja yeye anaunganisha basi anaitwa mmasai fasta na bakora zake....pia hawa wamasai unakuta analipwa elfu 60 kwa mwezi ila mwisho wa mwezi anaambulia elfu 8 au 10 nyingne zote anakuwa anapewa huduma sana sana za buku 5 zile za kulala usk...HAPO ni MINAZINI
Daaaah
 
Manyau nyau alikuja kuondoa uchawi kufika pale Ubaa Corner (Baa ipo Makaburini) akasema mbele anaona bahari tu hawezi kusogea mbele akarudi kwao, akakaa akaja tena, akafika sehemu ni maskani kuna gogo limewekwa hua tunakaa kupiga stori.

Akatoa jidude fulani hivi akasema huu ni ub00 kila aliyekaa hapa alikua anafir.wa ndiyo maana mtu akikaa hapa kuondoka hua hataki.

Yaani alichomaanisha ni kua vijana wote wa pande zile marinda yaliliwa na wachawi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahahahaha wewe jamaa ni wa huku huku.

Siyo mazombie yule mzee kashaua wenzake kibao kisa hiyo nafasi, ndiyo maana hata ndani ya chama chake hawampingi
Mbilinga kashindikana yule Mzee..
 
Breaking news : nipo na James Ngomero kilingeni Msata muda si mrefu tutaanza interview...
Mkuu mshana mwambie james ngomero nimepata taarifa zao yeye na imma mchaga, ustadh saleh wamemuibia mzee mbuzi hii juzi x-mas wamemchinja open kila mtu anaona wamepika supu wamekula..mwambie nikipata mda nitawafata mwanyamala moja moja na watamlipa huyo mbuzi...anatumia ile no mwisho 83? Namtafuta daily simpati..mkuu mshana nipigie kwenye ile halotel yangu mwisho 68 nionge nae huyo shetwani wa mwanayamal
 
Back
Top Bottom