Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Mwananyamala kuna msikiti unaitwa taqwa ulikua moja ya misikiti yenye harakati na walikua ma master wa karate,akikabwa muumini mmoja basi wahuni wenyewe walikua wanawajua maana wakija wanapiga mtaa mzima na polisi wenyewe wanawaogopa.washawahi vamia baa ya bakule et yule mwenye baa aliwaalika watu wale daku baa usiku wa ramadhani hahaha ***** watu baa walichezea kichapo
Habari za msikiti wa taqwa Rado msanii wa bongo movie anazijua vizuri alichezea kichapo kizuri tu kwa wale wazee wa suruali za don't touch my shoes.
 
Siku Ile Nimetafakari Hii Pombe Inaitwaje Sikupata Jibu La Haraka Haraka Nikasema ipo Siku Nitakuja Ijua Tuuu

Leo Umeituma Na Hii Picha Pasipo na Shaka Vyuma Vikiachia Nitakuletea Katon Nzima Katika ule Uwanja Wa Meja General
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Piga sana gemu kwa wahaya hapo kuna mama MTU mzima alikua Fundi haswa was mahaba ukikuta room take imefungu unazunguka unaweka poz ccm ukisubiri aliomo atoke kunje mkunjavyo halala miki
Embu fungukeni vizuri kwa wa haya pakoje je mpaka Leo papo
 
Kuna siku kanga moko walikua wanacheza uchi,kuna afande makomeo akaenda kuwakataza wakamletea ujuaji haha makomeo akamtia risasi ya paja mmoja wao hahaha yaani hivi vikundi vya kukaatika sijui kucheza uchi mwananyamala ndo vimeumbwa
 
Hapo kamanyola kuna chochoro lilikuwa refu ndo lina madirisha ya gest kuna mshkaj anaitwa ibrahim alienda kupiga chabo akakuta mama yake mzaz anasukumiwa mashine mbuz kagoma jamaa alilia kwa sauti mpaka wakasikia wahudumu
Maaaaaa weeeeee chabo atakaa apige tena paka kufa kwake
 
Habari za msikiti wa taqwa Rado msanii wa bongo movie anazijua vizuri alichezea kichapo kizuri tu kwa wale wazee wa suruali za don't touch my shoes.
Hahaha kipindi kile taqwa noma,wao walikua kama mapolisi wanasafisha maovu yote kuna siku mashoga walikua wanasasambua maeneo flani wakaitwa watu wa taqwa kusawazisha mambo watu walitoka nduki kwenye sherehe maana zilitembea mawashi tu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kuna siku kanga moko walikua wanacheza uchi,kuna afande makomeo akaenda kuwakataza wakamletea ujuaji haha makomeo akamtia risasi ya paja mmoja wao hahaha yaani hivi vikundi vya kukaatika sijui kucheza uchi mwananyamala ndo vimeumbwa
Nakumbuka ilishikiwa bango hiyo issue na Mange enzi za blog yake u turn
 
mwanyamala kiboko kuna jamaa tulimaliza nae form six alikuwa anishi mwananyamala tumemaliza pepa kama leo kesho wakanda coco beach na marafiki zake wa mwanyamala wakamumaliza huko huko
 
Evod Paul na nani Charles ndio wasongo wetu nimemsahau mwenzie mfupi hivii mazingaombwe ahhaha ya power nani sijui daaah tukiona wazungu wamekuja tunakimbia eti wanyonya damu
Daaah umenikumbusha mbali mkuu... Bila kusahau wachuna ngozi, nimekaa mwanyamala kidogo, na nilikuwa nakuja kucheza pale A... Wwe kama nakuhisi ivi... Hukuwa unauzaga kachori kweli[emoji2] [emoji85]
 
Mwananyama kwa utemi sasa kila kona kuna Gym, kuanzia vijana, komakoma, A, kisiwani kwa kidile...mirembe gym(hapa kuna gudu, dole) kwa mwalami gym( salum kiwiku) one nil gym( obede ngumu jiwe) bwawani huku kwa stevn nyerere (manchester gym shafii mashetani, albeto)...utemi utemi tu ktk mechi za mchangani LIGI ZA MBUZI game inapigwa pekupeku hio na wanaocheza ni baba flani watu wazima kabisa ndio alipotokea KANIKI huwa game aimaliziki lazima kiwake tu
Kamati ya Ulinzi
Salumu Kiwiku
Hassani Kibesi
Seif Dunye
Omary Kinyei
Mfaume Samatta (Body)
Hahahaaaaaa
Mtaani haonewi mtu...
One Nil Area..
Fera Street..
Team Manager
Meck Tarimba...
Nondo FC ndo timu ya kitaa...
Daa kitambo sanaa....

Huku ndiko walikotokea Lawrence Mugia na Amani George (Amani Masikio) waliokuwa wanaichezea Villa Squad..

Sudi Mkumba wa Efm product ya Mwananyamala
Including Bigboss Francis Majizo
Msikiti wenye wakali wa Karate Masjid Taqwa (Nyuma ya Hospitali)
Baa za matukio ilikuwa ni Tiger na Kamanyola...
Kibaka maarufu alikuwa ni Kumbwige (RIP)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we dyadya weee. Umeniua mbavu
Jana wameharibu siku yangu kabisa.

Uswazi siyo mchezo watu kutifuana migumi kitu cha kawaida,

Kuna mtu mwaka juzi akaniambia amepata chumba Mwananyamala 30,000
Kina tiles na umeme safi tu
Baada ya miezi miwili akahamia Kimara,
Kila nikimuuliza mbona ulihama ananijibu ameamua kusogea njia ya kuelekea Moshi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kamati ya Ulinzi
Salumu Kiwiku
Hassani Kibesi
Seif Dunye
Omary Kinyei
Mfaume Samatta (Body)
Hahahaaaaaa
Mtaani haonewi mtu...
One Nil Area..
Fera Street..
Team Manager
Meck Tarimba...
Nondo FC ndo timu ya kitaa...
Daa kitambo sanaa....

Huku ndiko walikotokea Lawrence Mugia na Amani George (Amani Masikio) waliokuwa wanaichezea Villa Squad..

Sudi Mkumba wa Efm product ya Mwananyamala
Including Bigboss Francis Majizo
Msikiti wenye wakali wa Karate Masjid Taqwa (Nyuma ya Hospitali)
Baa za matukio ilikuwa ni Tiger na Kamanyola...
Kibaka maarufu alikuwa ni Kumbwige (RIP)
Salute... Golden rose vyumba vyake vina majina ya wanyama... Chumba bomba kilikuwa Nyati.... Bakule vyumba vilikuwa kwa namba chumba namba sita ndio kilikuwa chenyewe
 
Manyau nyau alikuja kuondoa uchawi kufika pale Ubaa Corner (Baa ipo Makaburini) akasema mbele anaona bahari tu hawezi kusogea mbele akarudi kwao, akakaa akaja tena, akafika sehemu ni maskani kuna gogo limewekwa hua tunakaa kupiga stori.

Akatoa jidude fulani hivi akasema huu ni ub00 kila aliyekaa hapa alikua anafir.wa ndiyo maana mtu akikaa hapa kuondoka hua hataki.

Yaani alichomaanisha ni kua vijana wote wa pande zile marinda yaliliwa na wachawi
Dah,Inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom