mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 643
- 499
Habari za msikiti wa taqwa Rado msanii wa bongo movie anazijua vizuri alichezea kichapo kizuri tu kwa wale wazee wa suruali za don't touch my shoes.Mwananyamala kuna msikiti unaitwa taqwa ulikua moja ya misikiti yenye harakati na walikua ma master wa karate,akikabwa muumini mmoja basi wahuni wenyewe walikua wanawajua maana wakija wanapiga mtaa mzima na polisi wenyewe wanawaogopa.washawahi vamia baa ya bakule et yule mwenye baa aliwaalika watu wale daku baa usiku wa ramadhani hahaha ***** watu baa walichezea kichapo