Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Kuna tapeli mmoja ana ka grosali mitaa ya kopa kabana kwa juu anaitwa dany msukumu kabila lake akishirikiana na vijana wake wanajiita nyumba ndogo na halauka mtafute mshana jr
 
Mwenyekiti wetu hajui kusoma na kuandika ukaanzishwa utata akasema anajua kuandika na kusoma.

Wakakutanishwa siku hiyo ya kumtest kama kweli anajua kusoma na kuandika akaambiwa andika Chama Cha Mapinduzi.

Akaandika Chama Ha Mapundusi

Mwandiko kama bata.

Kampeni za 2015 akawa ananadi sera nanukuu

"Vijana nipeni kura mimi na nyinyi hatuna ugomvi ndiyo maana mnapovuta bangi napajua ila sijawahi kuwaleta polisi, kama kuna yeyote kawahi kusumbuliwa na askari kisa bangi aseme"
I seeeee..... Mkuuu umetishaaaaa... Dah... Nimecheka sana
 
Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
Ahahahahah!..Aisee we jamaaa nyoooko.
 
Aliekuaminisha hivyo hakutakii mema! Ila hamna raha kama kwenda kuchukua mtoto uswazi halafu wale masela kitaa wanakumind....
Nilishawahi kupigwa kabari ya kizushi ila fasta wakaniachia kwa sababu my Gf ana binamu zake wamepinda vilevile.

Baadaye nikawa napita hata saa sita za usiku kumrudisha mchuchu wangu kwao. Confidence pia ilinisaidia!!

I miss those old days
 
Wakati tunakua ilikuwa fasheni kwa vijana wa rika langu kutoka mtaani kwetu kwenda Mwananyamala kuchukua mademu. Yaani ilikuwa ni hatari. Mtoto Wa secondary unaweza kukaa naye geto hata wiki wala wazazi wake hawamtafuti. Na siku anaondoka anasindikizwa . shida kubwa ni ukikutwa na bwana ake wa Mwananyamala hapo utaporwa kwanza kabla ya kupigwa.
Kuna siku washkaji walikimbizwa mpka tandale wakarudi maskani kila mtu na njia yake.
 
Kuna bongo movie moja imetoka juzi juzi inaitwa karibu Tandale ya jimmy mafuvu kidigo amejitahidi kuelezea visa vya uswahili katika ile movie.Sema bado sanà bongo movie hawajiongezi tu uswahilini unatoa script moja kali sana.
Kuna ile komando Yosso ya Mtitu. Imetumia majina na matukio mengi halisi ya wahuni wa bonde la magomeni na Kigogo -mburahati. Nafkiri movie ilikuwa inspired na kipindi cha Seki City sound ambayo alimhoji jamaa mmoja komando Yosso Wa zamani anaitwa "Takbare" kwa maelezo yake anaishi Kigogo-Mburahati.
 
Ukiwa na mke au watoto. Sehemu hizi sio nzuri kuishi nayo:-
Mwananyamala
Magomeni
Keko
Buguruni
Ilala
Vingunguti
Bonde la msimbazi
Msasani bonde la mpunga
Iyo mieneo mtoto kudata ni kitu cha Kawaida sana
Umesahau Tandale mkuu
 
Kwendraaaa me nilikua mtoto wa kishua kwa mwananyamala yetu nakaa ushuani si unajua A ndio kwa kishua kwa mwananyamala
Mtito wa kota... Geti kali, nilikuzingua tu... Mimi sikukaa sana A.. Baadae tulijahama
 
Back
Top Bottom