Vituko vya watoto wa-kishua

Vituko vya watoto wa-kishua

mimi ela

Senior Member
Joined
Nov 9, 2017
Posts
162
Reaction score
92
Tutafute ela,

Kama ilivyo ada wanajopo tupeane laini laini za ndugu zetu hawa"high price life"watoto wakishua..

Kiukweli ukitaka usiwe na stress jaribu kukaa nao hawa, wana-exposure sana anaweza kupa hela akasema "keep change" hawa wakishua wakike, hata prof jay ashaambia"keep change, unamawazo mengi, itakufariji wikend "hizo ndo depo zao...Mambo ya kuhongana hawajui

Tukija kwenye ngeli hapa ndo intaneshno skuli au havard, wanajua ile lugha, wanamwaga yai wanatema matusi hataree ka kwenye movie..

Ngeli kwao si janga ka huku kwetu yes no watu wanakutolea mimacho, wao wanamwaga tena kwa kasi ukitoa macho hayupo hawamjui Ras simba

Raga sana, hata movie zao ni classic na wakianza kusimuliana we was acheche inabidi usepe utapata shida hebu imagine movie imetoka jana saa6usiku wao wanayo...au yametoka matrail wanayo...

Misosi sasa hapo ndo utafurah na roho yako, akinunua kiepe au kuku anagusa gusa maji kidogo hawazi, mi nikienda na mwantum viepe vinatujua...wale sio ka wanaume wa mikoani kula kilo2 za ugali mtu mmoja..ndo maana uchumi unashuka.

Basi bana ndo vurugu zao hapo ujasikiliza nyimbo zao hahaa unawezahisi wanataka kulala, unakuta wanaskiliza msanii wa Finland au Slovakia sijui Slovenia mi na ww hatuwajui kibaya zaidi unakuta anatumia mp4 ya ka m1 iv na hawazi...

Wao kulia sio mpaka msiba, wao kulia hata akijiskia analia ila analia kishua sio ka kaweka vuvuzela..

Upande wa nguo ka sio mvumilivu unaweza anza kulia kimoyo moyo maana sio kwa vinguo vyao AF brand ka gucci. Lv.d&g aisee kibegi simple laki7 mwanangu wa geto analipa semester pale chuo..

HAAA WAKISHUA RAHAAAA jazieni jazieni maana dah
 
Hao madogo ni wapuuzi sana. Kuna mmoja alikua demu wangu ila hajui kupika. So akija geto analala na movie na instagram. Hata vyombo haoshi mikucha mirefu mpaka kulee..

Sasa kuna siku katoa boko. Nimetoka class nikafika geto nikamkuta kalala mi nikabadilisha nguo nikaenda uwanjani kipiga tizi. Kumbe kajishtukia akasema eti ajaribu kupika wali,, mamamaaaaa yan wali umetoka bokoboko, chini umeungua, hayo mafuta na chumvi ni hatari. Hatukufika mbali nikashindwa.

Sema sekta nyingine alikua good. Anaweza kuja na kuku mzima nawaita washikaji tunapiga. Au kwenye ulabu. Wanajua kutoa pesa.
 
Si ungemfundisha? Kama alikuwa hakusaliti hayo mengine ungemrekebisha taratibu.... labda km alikuwa anakudharau!
 
Tulianza vuzuri sana nimemrekebisha mambo mengi ila kwenye swala la jikoni hakutaka kabisa. Siku nyingine anasemwa na marafiki zake lakini wapi. Mwisho wa siku mi nikajiona kama mpitaji tu. Sikua na la ziada.
 
Hao madogo ni wapuuzi sana. Kuna mmoja alikua demu wangu ila hajui kupika. So akija geto analala na movie na instagram. Hata vyombo haoshi mikucha mirefu mpaka kulee..

Sasa kuna siku katoa boko. Nimetoka class nikafika geto nikamkuta kalala mi nikabadilisha nguo nikaenda uwanjani kipiga tizi. Kumbe kajishtukia akasema eti ajaribu kupika wali,, mamamaaaaa yan wali umetoka bokoboko, chini umeungua, hayo mafuta na chumvi ni hatari. Hatukufika mbali nikashindwa.

Sema sekta nyingine alikua good. Anaweza kuja na kuku mzima nawaita washikaji tunapiga. Au kwenye ulabu. Wanajua kutoa pesa.
Wakulaumiwa ni aliyeshindwa kumlea katika utamaduni wa kiafrika.
 
Hao madogo ni wapuuzi sana. Kuna mmoja alikua demu wangu ila hajui kupika. So akija geto analala na movie na instagram. Hata vyombo haoshi mikucha mirefu mpaka kulee..

Sasa kuna siku katoa boko. Nimetoka class nikafika geto nikamkuta kalala mi nikabadilisha nguo nikaenda uwanjani kipiga tizi. Kumbe kajishtukia akasema eti ajaribu kupika wali,, mamamaaaaa yan wali umetoka bokoboko, chini umeungua, hayo mafuta na chumvi ni hatari. Hatukufika mbali nikashindwa.

Sema sekta nyingine alikua good. Anaweza kuja na kuku mzima nawaita washikaji tunapiga. Au kwenye ulabu. Wanajua kutoa pesa.
Umechezea bahati
 
Daaaahhhhh,wazee nilishawah kumpata mtoto mmoja wa kushua Bi.Mkubwa wake alikuwa waziri kwenye wizara moja nyeti enzi za Jk, kiukweli hawa watoto wa kishua sana sifa zifuatazo;
1.wanamapenz ya kweli
2.hawana ushamba na Mali so,ni ngumu sana kurubuniwa na watu wengine
3.ni wachache sana wenye adabu na wanao jua kupika hasa kwa watoto wa kike!
 
Back
Top Bottom