Uwezo wa serikali yetu kununua mahindi toka kwa wakulima ni mdogo ukilinganisha na kiasi kinacholimwa.
Wakulima wetu hawana uwezo wakuhifadhi mahindi yote wanayovuna kutokana na uwezo wao mdogo na njia zakuhifadhi mahindi yasiharibike.
Wakiuza kwa bei nzuri angalau (kwamajirani) japo nao waboreshe maisha yao serikali inaleta nongwa.
Sasa hawa wakulima wafanyeje? Ukizingatia soko la ndani limedorora na wanauza kwahasara!
Huku wakulima hao hao wana mikopo kwenye mabenki, vikoba, Sacco's bila kusahau pembejeo wanataka chao.
Hapo mi ndio nashindwa kuelewa hii nchi yetu ni yaaina gani. Kila kitu siasa
Kama bado unahistoria ebdelea hivyo hivyosawa mnatulisha kweli ila mbona bidhaa zetu chungu nzima na benki za kenya zimejaa kote tanzania..viwanda vya maziwa...ndege za KQ na jambojet zapaa anga za Bongo..watalii wanakuja kuiona Kilimanjaro toka Amboseli....ni biashara tu bro usipandwe na mori...mpunguze mihemko...😀😀japo mnatulisha, biashara kati ya TZ na KE favors Kenya more than TZ in terms of volume of trade...we export more than we import from you...sasa mahindi tu isikupe mihemko jirani..tukipeleka biashara kwingine, wakulima wataumia..usishangae wakati fahali wanapigana, nyasi ndio huumia kama sasa vile wauzaji gesi wa tz na wanunuzi toka kenya wanaumia...
basi tutanunua kwingine...nadhani mahindi ni bidhaa rahisi kupata..mbona nchi nyingi tu zinafanya kilimo ch mahindi....mahindi si kama dhahabu
Sote tunasoma number mpaka Kenyatutanunua mahindi toka Ethiopia ama Mexico.....pesa zipo
Hahaaa umenichekesha sanaMwaka huu ugali utakuwa anasa kwa manyangau ukipika ugali unaitwa mweshimiwa[emoji2]
Na uzuri njaa haina MbabeNiliwahi kuandika humu wiki iliyopita kwamba Jpm akiziba utoroshaji mahindi Kwenda kenya watatafutana jamaa mmoja ,nadhani ni walewale alinitukana vibaya.Sasa narudi,Kenya zaidi ya nusu yake ni agriculturally unproductive
Wakiendeleza bifu na cc tukakaza uzi hakika wataangamia kwa njaa..
tutanunua mahindi toka Ethiopia ama Mexico.....pesa zipo
Uwezo wa serikali yetu kununua mahindi toka kwa wakulima ni mdogo ukilinganisha na kiasi kinacholimwa.
Wakulima wetu hawana uwezo wakuhifadhi mahindi yote wanayovuna kutokana na uwezo wao mdogo na njia zakuhifadhi mahindi yasiharibike.
Wakiuza kwa bei nzuri angalau (kwamajirani) japo nao waboreshe maisha yao serikali inaleta nongwa.
Sasa hawa wakulima wafanyeje? Ukizingatia soko la ndani limedorora na wanauza kwahasara!
Huku wakulima hao hao wana mikopo kwenye mabenki, vikoba, Sacco's bila kusahau pembejeo wanataka chao.
Hapo mi ndio nashindwa kuelewa hii nchi yetu ni yaaina gani. Kila kitu siasa
TunawalishaMi sielewi hebu nisaidieni. Kwani si wananunua? Sasa tunawalisha vipi.
Hali ya Chukula mwaka huu siyo nzuriWee chizi Ethiopia Kuna mahindi ya kuitosheleza njaa ya mkenya???
Uzuri namba mtaisoma hats nyie manake Mkulu alipokuja nairobi mlimwimbia nyimbo za mapenzi sawa njaa zimewakomexha mnavamia nchi....
Tatizo ni WAKENYA kuzuia gesi kutoka bongo na sisi ngoja tuzuie mahindi yetuTunahitaji katiba bora. Yaani urafiki wa mtu mmoja unasababisha hasara ya taifa.
Shida ni Raila ashinde au?
Think twice , Uhuru na Chadema anasababisha wakenya wakoswe chakula kwa sababu ya Raila na Padlock?.
Tunaoumia ni wakulima wa Tz na walalahoi wa Kenya.
Mungu anawaona
Mahindi toka ethiopia!tutanunua mahindi toka Ethiopia ama Mexico.....pesa zipo
Kweli Wanadamu nishida sanaTunahitaji katiba bora. Yaani urafiki wa mtu mmoja unasababisha hasara ya taifa.
Shida ni Raila ashinde au?
Think twice , Uhuru na Chadema anasababisha wakenya wakoswe chakula kwa sababu ya Raila na Padlock?.
Tunaoumia ni wakulima wa Tz na walalahoi wa Kenya.
Mungu anawaona