Vituko;- WAKENYA WATUA NCHINI TANZANIA KUDAI MAHINDI YAO

Uwezo wa serikali yetu kununua mahindi toka kwa wakulima ni mdogo ukilinganisha na kiasi kinacholimwa.

Wakulima wetu hawana uwezo wakuhifadhi mahindi yote wanayovuna kutokana na uwezo wao mdogo na njia zakuhifadhi mahindi yasiharibike.

Wakiuza kwa bei nzuri angalau (kwamajirani) japo nao waboreshe maisha yao serikali inaleta nongwa.

Sasa hawa wakulima wafanyeje? Ukizingatia soko la ndani limedorora na wanauza kwahasara!

Huku wakulima hao hao wana mikopo kwenye mabenki, vikoba, Sacco's bila kusahau pembejeo wanataka chao.
Hapo mi ndio nashindwa kuelewa hii nchi yetu ni yaaina gani. Kila kitu siasa

Kuna vitu vyakuleta masiala sio Hili sawa!!
Hivi unaijua njaa?
 
sawa mnatulisha kweli ila mbona bidhaa zetu chungu nzima na benki za kenya zimejaa kote tanzania..viwanda vya maziwa...ndege za KQ na jambojet zapaa anga za Bongo..watalii wanakuja kuiona Kilimanjaro toka Amboseli....ni biashara tu bro usipandwe na mori...mpunguze mihemko...😀😀japo mnatulisha, biashara kati ya TZ na KE favors Kenya more than TZ in terms of volume of trade...we export more than we import from you...sasa mahindi tu isikupe mihemko jirani..tukipeleka biashara kwingine, wakulima wataumia..usishangae wakati fahali wanapigana, nyasi ndio huumia kama sasa vile wauzaji gesi wa tz na wanunuzi toka kenya wanaumia...
Kama bado unahistoria ebdelea hivyo hivyo
Watalii Ilikuwa history
Kwasasa Tanzania Inaichapa Kenya kwenye utalii mabari sana
 
basi tutanunua kwingine...nadhani mahindi ni bidhaa rahisi kupata..mbona nchi nyingi tu zinafanya kilimo ch mahindi....mahindi si kama dhahabu

Mlinunua Israel vipi yamefika wapi!
Watu Wanateseka wewe unakuja na porojo za kununua kwingine!!
Tanzania kufunga mipaka nipigo kwenu
hilo mkubari
 
Niliwahi kuandika humu wiki iliyopita kwamba Jpm akiziba utoroshaji mahindi Kwenda kenya watatafutana jamaa mmoja ,nadhani ni walewale alinitukana vibaya.Sasa narudi,Kenya zaidi ya nusu yake ni agriculturally unproductive
Wakiendeleza bifu na cc tukakaza uzi hakika wataangamia kwa njaa..
 
Na uzuri njaa haina Mbabe
 
tutanunua mahindi toka Ethiopia ama Mexico.....pesa zipo

Wee chizi Ethiopia Kuna mahindi ya kuitosheleza njaa ya mkenya???
Uzuri namba mtaisoma hats nyie manake Mkulu alipokuja nairobi mlimwimbia nyimbo za mapenzi sawa njaa zimewakomexha mnavamia nchi....
 
Uwezo wa serikali yetu kununua mahindi toka kwa wakulima ni mdogo ukilinganisha na kiasi kinacholimwa.

Wakulima wetu hawana uwezo wakuhifadhi mahindi yote wanayovuna kutokana na uwezo wao mdogo na njia zakuhifadhi mahindi yasiharibike.

Wakiuza kwa bei nzuri angalau (kwamajirani) japo nao waboreshe maisha yao serikali inaleta nongwa.

Sasa hawa wakulima wafanyeje? Ukizingatia soko la ndani limedorora na wanauza kwahasara!

Huku wakulima hao hao wana mikopo kwenye mabenki, vikoba, Sacco's bila kusahau pembejeo wanataka chao.
Hapo mi ndio nashindwa kuelewa hii nchi yetu ni yaaina gani. Kila kitu siasa

Siungi mkono mawazo yako
Hali ikiwa mbaya nyie ndie wakwanza kupiga kelele tena.
Wazuie tu naana Hali sio nzuri ya chakula
 
Wee chizi Ethiopia Kuna mahindi ya kuitosheleza njaa ya mkenya???
Uzuri namba mtaisoma hats nyie manake Mkulu alipokuja nairobi mlimwimbia nyimbo za mapenzi sawa njaa zimewakomexha mnavamia nchi....
Hali ya Chukula mwaka huu siyo nzuri
kuruhusu mahindi yatoke
italeta Taabu kwetu
 
Tunahitaji katiba bora. Yaani urafiki wa mtu mmoja unasababisha hasara ya taifa.
Shida ni Raila ashinde au?
Think twice , Uhuru na Chadema anasababisha wakenya wakoswe chakula kwa sababu ya Raila na Padlock?.
Tunaoumia ni wakulima wa Tz na walalahoi wa Kenya.
Mungu anawaona
 
Tatizo ni WAKENYA kuzuia gesi kutoka bongo na sisi ngoja tuzuie mahindi yetu
 
Hawatujui hawa mapimbi wawaulize qatar kibri chote kwisha wanataman hatawajiunge east africa community wale ugali wa tanzania zamu ya mapimbi sasa kupiga desh
 
Tunahitaji katiba bora. Yaani urafiki wa mtu mmoja unasababisha hasara ya taifa.
Shida ni Raila ashinde au?
Think twice , Uhuru na Chadema anasababisha wakenya wakoswe chakula kwa sababu ya Raila na Padlock?.
Tunaoumia ni wakulima wa Tz na walalahoi wa Kenya.
Mungu anawaona
Kweli Wanadamu nishida sana
wewe kinacho kusumbua nichuki tu
huna lazaidi
hali yachakula huioni!
Kesho muanze kupiga makelele kwa serikali tena njaa!!
 
Back
Top Bottom