kijani11
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 8,113
- 8,610
Halafu tutalipa sisi. Maana wao hata makodi kodi tuluyojaziwa wana misamaha....Ndio vipaumbele hivyo haya mambo ni ngumu sana kuyasikia enzi za kidume toka Chato!
Ila ndio wananchi wanayopenda kuyaskia haya.,subirien kusikia hela watu wamegawana kwenye ma v8 kila mtu kakimbia na bil.10