YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 52,001
Kama ni kweli tujiandae utapeli mbeleni zitaletwa zile mvua za kutengenezwa za Thailand alizotaka kuleta Lowasa tunaandiliwa kisaikolojia
Ni afadhali hiyo pesa wangepanda miti mingi kila Kona au heri wangechukua hata wazo la mzee Rungwe aliyesema chama chake kikishinda uchaguzi atachimba mtaro mkubwa toka baharini dar na kuupeleka Dodoma ili Dodoma iwe na beach na upepo mwanana wa bahari na watu waweze kusafiri kwa boat kiutalii toka Dar Hadi Dodoma
Anyway huo mradi Kama ni kweli ni too luxurious Kama ni private sector itaendesha kwa kuchaji pesa ni sawa lakini Kama ni serikali sio sahihi Kuna mengi ya kufanya ikiwemo kupandisha mishahara ya wafanyakazi