Vituo 5 vya joto na baridi kujengwa jijini Dodoma

Vituo 5 vya joto na baridi kujengwa jijini Dodoma

Sina mpango wa kudedi mida ya karibuni. Nitadedi pale ntakapohakikisha hela yote imeisha
Bora lifespan yako unaijua maana tunaangaika na kupanga bure..

Basi sawa hata mie sijui atapateje HELA ANAZOOTA KILA SIKU.... MAANA MAVI TU NDIO MFUMO WA MAISHA PAMBANA UTAJUA TU HUNA MAANA ZAIDI YA KUJIFRASH HAPA DUNIANI - SALAMU KWA WATENGENEZA HISTORIA KWOKOTE WALIPO DUNIANI
 
Tangu Dodoma ipendekezwe kuwa makao makuu ilishajulikana hiyo sehemu ni kame, ak.a jangwa.......lakini zaidi ya miaka 60 kuwekeza kuboresha hali ya hewa hapo Dodoma kwa kupanda miti ya kutosha na kutengeneza bustani zenye mabwawa ya maji mjini imeshindikana. Kwa sababu mmeona hali ya hewa inatishia amani ndo mnakurupuka kwenda kuweka AC, sasa sijui hizo AC zitatupooza watu zaidi ya milioni moja kwa mkupuo, au tutakuwa tunaingia kwa zamu......​
ITAKAUKA!? INATOSHA KULEA
 
Source,

Sehemu ndogo ya hiyo pesa ungewapa JKT ingetosha kupanda miti millioni kumi.

Hivyo kubadilisha hali ya hewa kwa muda mrefu ujao. Zoezi linakiwa liwe endelevu.

Kila nyumba, kila mtaa, kila sehemu zilizo wazi zinatakiwa kupandwa miti. Serikali inaweza kuhamasisha, kuelimisha na kutoa incentives kwa wananchi wote wa Dodoma.

Hizo AC gharama za repair and maintanance zitakuwa kubwa sana, hazitawafikia watu wengi na ni suluhisho la muda mfupi, kwa gharama kubwa.
ITAUKA KULEA INACHOSHA!?
 
hahahahahaha utafikiri nchi ni tajiri na imemaliza matatizo yote ya msingi au ndio kuupiga mwingi tulikoambiwa huku...
 
Hii nchi ina vipaumbele vya kuchekesha sana...

Hii hali ya hewa ndo imeanza mwaka huu? Kabla ya hapo ilileta madhara gani?
Watu Wamevimbiwa Wanatafuta Kupiga Kwa Hali Na Mali
Hawana Muhari Na Mtu, Yaani Kwa Uchumi Gani Tulionao Mpaka Tununue Machines Za Kupepeana
 
mkumbusheni huyo bado madarasa hatujajenga, bado hapo hapo dom watoto wanakaa chini mashuleni, bado hapo hapo dom watu wanakunywa maji na ng`ombe...

Mwenye shida na joto au baridi kwa sasa ajiwekee AC na heater nyumani kwake kwa sasa watanzania masikini hiko sio kipaumbele wakisikia baridi wanakoka moto tu majumbani, joto likizidi wanavua mashati na kujipepea tu....TUACHE ANASA BADO TUNA MENGI YA MSINGI...wenzetu mnaokwenda ulaya angalie vya kukopi Ulaya huko...
 
Kutokana na hali ya hewa ya Dodoma kuwa ya Kitropical Serikali imeamua kusaini dola za Marekani Milion 10 kwa ajili ya kuazisha vituo 5 maalumu vya Joto na Baridi. Vituo hovyo vitatumika wakati hali ya hewa ya kupita kiasi itakapotokea Jiji Dodoma ambapo vitafunguliwa vituo vyake vya Joto na Baridi kwa wakaazi kupumzika kutoka kwa hali ya hewa. Vituo vya Joto na Baridi huko Dodoma vinapatikana katika maeneo yafuatayo:

Nkuhungu

22 S. Nkuhungu St.

Masaa: 8 asubuhi hadi 5 jioni Jumatatu hadi Ijumaa

Udom

1800 Udom St.

Masaa: 7 asubuhi hadi 4 jioni Jumatatu hadi Ijumaa

Mtumba

Mji wa Serikali 200 Mashariki

Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)

Idara ya Polisi Zimamoto

20 NHIF PLAZA

Masaa 24 (hakuna vifaa vya kulala)

Chamwino

227 Chamwino St.

Masaa:

9 asubuhi hadi 9 jioni Jumatatu hadi Alhamisi

9 asubuhi hadi 6 jioni Ijumaa

9 asubuhi hadi 5 jioni Jumamosi

Adhuhuri hadi saa 5 asubuhi. Jumapili
Hii kitu mbona sielewi hivi Dodoma imekuwapo leo ,na Kama sio tuelewesheni vizuri, Dodoma ipo na imekuwapo ina watu wanaishi,na wamekua wakiishi Sasa haya Ndo nini,Iyo pesa wekeza kwenye mradi wa maji Kama wa Arusha acheni tumia pesa vibaya ,anaetaka inarudi au joto akafanye mwenyewe kwake

Serikali acheni Mambo haya Bwana ,feni zipo
 
Tulikuwa tunaviongezea furaha kumbe vinataka kuwa VIGAIDI tunaacha....' AC
 
Tangu Dodoma ipendekezwe kuwa makao makuu ilishajulikana hiyo sehemu ni kame, ak.a jangwa.......lakini zaidi ya miaka 60 kuwekeza kuboresha hali ya hewa hapo Dodoma kwa kupanda miti ya kutosha na kutengeneza bustani zenye mabwawa ya maji mjini imeshindikana. Kwa sababu mmeona hali ya hewa inatishia amani ndo mnakurupuka kwenda kuweka AC, sasa sijui hizo AC zitatupooza watu zaidi ya milioni moja kwa mkupuo, au tutakuwa tunaingia kwa zamu......​
Iyo pesa bora chimba mfereji TOKA dar to Dom alisema mzee Ashim Ringwe mkamuona kichaa
 
Tulikuwa tunaviongezea furaha kumbe vinataka kuwa VIGAIDI tunaacha....' AC
Kwanza ni watu GANI watakua wanakaa kwenye hivyo vitu,tz tunamatatizo Sana ,nimeshangaa Sana yani,Dom yapo maitaji ya msingi MOJA ni maji ,mji unakua KWa Sana so maji yanatakiwa ya kutosha
 
Kwanza ni watu GANI watakua wanakaa kwenye hivyo vitu,tz tunamatatizo Sana ,nimeshangaa Sana yani,Dom yapo maitaji ya msingi MOJA ni maji ,mji unakua KWa Sana so maji yanatakiwa ya kutosha
USIPOKUWA MAKINI YAMSINGI YAMEISHA HUJUI HESABU TU
 
Back
Top Bottom