Vituo 5 vya joto na baridi kujengwa jijini Dodoma

Ndio vipaumbele hivyo haya mambo ni ngumu sana kuyasikia enzi za kidume toka Chato!

Ila ndio wananchi wanayopenda kuyaskia haya.,subirien kusikia hela watu wamegawana kwenye ma v8 kila mtu kakimbia na bil.10
Halafu tutalipa sisi. Maana wao hata makodi kodi tuluyojaziwa wana misamaha....
 
Hali ya hewa inatishia Amani gani? Maelfu ya watu wameishi hapo Dom miaka na miaka kuna tishio gani la Amani wamelipata? Au shida gani ya kiafya wamekuwa nayo? Huu ni upuuzi wa Hali ya Juu,kwamba Ukikulia Dar basi unaona uko special Sana na maisha yako hayaendi bila AC? Serikali iache kuharibu pesa za umma kwa mambo ya kishenzi.
 
Mbona Dsm kwenye joto miaka yote hawaanzishi hivyo vituo vya baridi?

Naona wanaendelea kutengeneza ma gap watupige tu.

Bongo ukiona joto unajisogeza karibu na ufukwe 😁
 
Waweke na ATM za beer baridiiiiii basi...
 
Halafu tutalipa sisi. Maana wao hata makodi kodi tuluyojaziwa wana misamaha....
E - HOSPITAL TAYARI MAANA DAKTARI/MAGANGA YUPO KUPOKEA STORY ZA KUNITANDIKA MTAANI MAANA KUNA MWANAMKE ANAMPENDA
 
kila mwanchi wa Dodoma akiotesha miti 2-10 kwa mwaka ni mabadiliko chanya
 
Hio pesa kama haina kazi ya kufanya ni bora ingetumika kupanda miti tu hapo Dodoma, na kauli mbiu iwe "Dodoma ya kijani"
 
Bora wangejenga Madanguro yenye Ac ili kuziongezea Value Nyapu ili Wabunge wa CCM wakapumzike vizuri.
 
Ukifa familia yetu inarudi au utaiua!? Maana hata mie familia yangu naweza kukuachia bila fedha maana hatuna CHIMBUKO la neno KIFO
Sina mpango wa kudedi mida ya karibuni. Nitadedi pale ntakapohakikisha hela yote imeisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…