Vituo 5 vya joto na baridi kujengwa jijini Dodoma

Kama ni kweli tujiandae utapeli mbeleni zitaletwa zile mvua za kutengenezwa za Thailand alizotaka kuleta Lowasa tunaandiliwa kisaikolojia

Ni afadhali hiyo pesa wangepanda miti mingi kila Kona au heri wangechukua hata wazo la mzee Rungwe aliyesema chama chake kikishinda uchaguzi atachimba mtaro mkubwa toka baharini dar na kuupeleka Dodoma ili Dodoma iwe na beach na upepo mwanana wa bahari na watu waweze kusafiri kwa boat kiutalii toka Dar Hadi Dodoma

Anyway huo mradi Kama ni kweli ni too luxurious Kama ni private sector itaendesha kwa kuchaji pesa ni sawa lakini Kama ni serikali sio sahihi Kuna mengi ya kufanya ikiwemo kupandisha mishahara ya wafanyakazi
 
Hapo hata mie UKAME UENDELEE haiwezekani VITU VYA LOWASA VISEME UONGO HUO UCHAWI NDIO UNAOTAKIWA!?
 
Sijakuelewa vizuri...
 
Pelekeni joto Makete, Mafinga na Makambako...yaani June ngoma inasomaga -3°C.
 
Kwa maana hio AC za umma zitafungwa ili kupepelea mafisadi watakaokuwa Dodoma?
Waache upotevu huu wa fedha za umma. Hizo bilioni 20 na ushee zitumike kujenga barabara na madaraja vijijini! CCM iache ulevi!!!
 
Waache upotevu huu wa fedha za umma. Hizo bilioni 20 na ushee zitumike kujenga barabara na madaraja vijijini! CCM iache ulevi!!!
Bora kulewa kweli wanaofanya hizo kazi hawana kazi nyingine....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…