Vituo vitano vyafungiwa, vyafutiwa leseni kwa kuuza mafuta juu ya bei elekezi

Geita vimefungiwa vingi.
Huduma ni kwa vituo vichache na tunapangiwa matumizi ya mafuta.
Pikipiki unaweka sio zaidi ya 5000 gari ndogo sio zaidi ya 10000
 
Hapana mimi huwa natoa pongezi panapo stahili.Nafahamu pia kuna weakness ila sipendi kuziongelea maana nipo optimistic zaidi. BTW wewe ni chama gani?
Zamani nilikua Chadema kindakindaki...yaan wale wakujipaka had rangi usoni za chama ...nilipokua mjasiriamali mzoefu Kuna mtu akaning'ata sikio...Sina chama Tena .nafanya yangu! Ingawa sisifu Wala kuabudu
 
Labda wale wanauza kwenye makopo ndio wamefutiwa leseni kwa sababu vituo vyao havina majina
 
Zamani nilikua Chadema kindakindaki...yaan wale wakujipaka had rangi usoni za chama ...nilipokua mjasiriamali mzoefu Kuna mtu akaning'ata sikio...Sina chama Tena .nafanya yangu! Ingawa sisifu Wala kuabudu
Hata nami nilikuwa CDM.Maana vijana wengi walianza kuikubali kipindi hicho inaanza kuwa ng'ang'ari.Baadaye nikajikataa nikahamia CCM maana nilipata tetesi mama kaipigia kura CCM kipindi hicho.Nilivyojitambua nikawa dilemma sema nikawa upande wa serikali zaidi.Majukumu yakanizidi maana field niliyopo ukiendekeza siasa hutoboi ikizingatia ninafaa nisome vitu vipya kila siku.Nikajitoa kwenye mavyama.Sina chama sasa! Nimebaki kuangalia mambo ya serikali tu.
 
.
Safi...all the best
 
Back
Top Bottom