Vituo vitano vyafungiwa, vyafutiwa leseni kwa kuuza mafuta juu ya bei elekezi

Vituo vitano vyafungiwa, vyafutiwa leseni kwa kuuza mafuta juu ya bei elekezi

Tena ingewezekana bei iendelee kushuka mpaka 800 kwa mwaka mzima.

Hao wanaoficha mafuta wafunge bisahara kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23] wote tuimbe hallelujah sio
 
EWURA waende huko Dodoma. Nimekuta vituo karibu vyote, isipokuwa vya PUMA, haviuzi mafuta kwa kisingizio kuwa mafuta yamekwisha!
Wawalazimishe wauze?? hua mnafikiria kwa kutumia nn? wakishawafungia ndio mtapata mafuta?? kuna mambo hayahitaj nguvu, kama hukujifunza kwenye sukari, korosho, mbaazi , mahindi, huji jifunza sehem nyingine
 
Alivitaja vituo hivyo kuwa ni...
1. Caltex
2. Shell
3. Oilpil
4. BP
5. ...

Kuna kituo kiko pale barabara ya SAM NUJOMA njia ya kuelekea Sinza- Makaburini, kimepakana na jengo reefu kabisa katika njia hiyo ya SAM NUJOMA ilikuwa Jumapili trh 28/06/2020 Saa 12 jioni hivi, hawakuwa na mafuta sasa sijui shida ni hiyo inayosemwa humu au ilikuwa shida nyingine!
 
ila Mr. Kaguo tunaomba mubadilike kweli, AWAMU iliyopita mmetutesa sana, ilikuwa mafuta yanapanda uarabuni leo na nyinyi kesho mnapandisha mafuta Tanzania, Yakishuka Uarabuni hamshushi bei muda mrefu unapita na hata mkishusha unakuta sh.150 ya kudanganyia. ninaamini kama ingekuwa awamu iliyopita pamoja na CORONA kuwepo mngeshusha mafuta labda kwa sh. 100 tu. yaani EWURA hapana , BADILIKENI. MAGUFULI OYEEEE
 
Kuna kituo kiko pale barabara ya SAM NUJOMA njia ya kuelekea Sinza- Makaburini, kimepakana na jengo reefu kabisa katika njia hiyo ya SAM NUJOMA ilikuwa Jumapili trh 28/06/2020 Saa 12 jioni hivi, hawakuwa na mafuta sasa sijui shida ni hiyo inayosemwa humu au ilikuwa shida nyingine!
Wanasubili bei mpya itangazwe kesho au keshokitwa ndipo wauze.
 
Back
Top Bottom